DaughtersOfZion(@DOZ_Ke) 's Twitter Profile Photo

Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
rudia
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

account_circle
DaughtersOfZion(@DOZ_Ke) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine

Wewe ni Mungu, mpasua bahari 
Haufananishwi na kitu kingine 
Haufananishwi na kitu kingine   .

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi 
Haufananishwi na kitu kingine #TheBirthingPosition
account_circle
Veeoner(@veeoner) 's Twitter Profile Photo

Unafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa
Haufananishwi na kitu kingine

Unafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa
Haufananishwi na kitu kingine #BeStrongandDoExploits
account_circle
DaughtersOfZion(@DOZ_Ke) 's Twitter Profile Photo

Wewe ni Mungu mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
Haufananishwi na kitu kingine

Wewe ni Mungu mtuliza mawimbi 
Haufananishwi na kitu kingine 
Unafanya mambo ambayo 
Mwanadamu hawezi kufanya 
Unatoa faraja ambayo 
Mwanadamu hawezi kutoa 
Haufananishwi na kitu kingine 
#DOZFruitfulness
account_circle
lizzy causion(@LCausion) 's Twitter Profile Photo

“Mungu mwenye wivu, mtunza maagano , haufaninishwi na kitu kingine…katikati ya ghadhabu umekumbuka Rehema, haufanishwi na kitu kingine……. Unafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya, unatoa faraja ambayo mwanadamu hawezi kutoa.. haufananishwi na kitu kingine….🙌🙏

Nancy Akola(@AkolaNancy) 's Twitter Profile Photo

Isaiah 54:2 Enlarge,stretch! Gen 1:18 fruitfulness Boaz Danken M Radio 47 Good morning too Mama taifa na wanaligi wote, nashukuru Mungu nimeamka salama. Hakika Mungu haufananishwi na kitu kingine, anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya. May His name reign forever in my life. Hapandipo and it can never be other wise.

account_circle
Jayreally✏️(@_Jayreally47) 's Twitter Profile Photo

✍️Ni chungu lkn bado ikaitwa Panadol.
✍️Ni chungu lkn bado ikaitwa Coloqwin.
✍️Ni chungu lkn bado ikaitwa Aloe Vera.

Uchungu wa mama wakati wakujifungua haufananishwi na Kitu chochote, unaitwa uchungu Tu

Tuwaheshimu Sana mama zetu wanapitia wakati mgumu wakati wakujifungua🙏

Godwin Msigwa(@GodwinMsigwa) 's Twitter Profile Photo

TUIMBE TUIMBE TUIMBE !!!
===================

Napenda kuimba Fadhili zako
Zinazodumu milele yote
El Shaddai muweza yote
Wewe ni mwema
Haufananishwi

===== AMEN =====

@ BAGATECH

Godwin D. Msigwa
Dodoma
Tanzania
16 Januari 2024

TUIMBE TUIMBE TUIMBE !!!
===================

Napenda kuimba Fadhili zako
Zinazodumu milele yote
El Shaddai muweza yote
Wewe ni mwema
Haufananishwi

===== AMEN =====

@ BAGATECH 

Godwin D. Msigwa
Dodoma 
Tanzania
16 Januari 2024
account_circle