Saa kumi na mbili, jogoo ameshawika, kokoliko kokoo Kokoliko wowo, yaweh Wafanyakazi wanaenda maofisini Wauza sokoni, wanaenda soko kuuza Watoto wa shuleni nao wameshapendeza Wanaenda shuleni kutengeneza maisha ya kesho Wafanya biashara wanaenda biasharani