Nimechoka_Jamani(@enamalisa) 's Twitter Profile Photo

Crossophinah is bored at home.
Kwahiyo mje for Game night Olele , from saa kumi na mbili na nusu.
Shots on the Houseee🥳.
Company ya Kutosha, Na wajanja ni wengi🤣 , so come prepared kupambana na wabadhirifu🤣.

account_circle
Shilole(@OfficialShilole) 's Twitter Profile Photo

Mwanangu Chochote unachofanya kuepuka umasikini, kifanye serious. Dunia haina huruma na mafukara.

Tuendelee Kupambana, Tuendelee kugawana kidogo tunachokipata na familia zetu.

BABUU🤴(@Ashrafmbwana) 's Twitter Profile Photo

Crown media ndiyo media kubwa na Ngali Tanzania kwa sasa 🔥. Wasafi na Clouds tv wajipange kupambana na huu moto 🔥🔥.

Crown media ndiyo media kubwa na Ngali Tanzania kwa sasa 🔥. Wasafi na Clouds tv wajipange kupambana na huu moto 🔥🔥.
account_circle
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁(@KingPablotz) 's Twitter Profile Photo

Kuishi kwa furaha ni chaguo lako, ila kuishi kwa furaha zaidi lazima uweze kuacha baadhi ya mambo.

Vitu 9 vya kuacha kuishi kwa furaha.

1. 𝗔𝗰𝗵𝗮 kujilinganisha na wengine

🔶 Tafuta njia zako za kupambana na kuishi

🔶Jikite zaidi kwenye maisha yako na familia yako.

Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Mrisho Ngasa, amemshauri Mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele aliyewahi kuitumikia Yanga, kumalizana na watu waliomkosea kuliko kupambana na taasisi (Yanga) sababu anaamini kuwa Yanga sio ya kiongozi yeyote.

“Ila swahiba wangu top…

Řǟռɢ○ 𓃵(@Im_MrRango) 's Twitter Profile Photo

Wiki nyingine ya mapambano, hope ile wiki tuliyopangiwa kufanikiwa ndio hii. Hakuna mafanikio yatakufuata bila kupambana TOKA MAGETONI mwanetu.

Mr Health💊💉(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

Faida za kiafya za matumizi sahihi ya mafuta ya nazi (coconut oil).

Uzi 🧵 Mfupi sana Repost Elimu hii kuwafikia wengi... 🤝

Mafuta ya nazi yana sifa za kiasili za kupambana na bakteria na fangasi, hivyo yanaweza kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi kama vile fangasi ukeni.…

Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ(@Nindi_Jr) 's Twitter Profile Photo

Moja Ya best moments Za mapigo Kwenye Series Ya game of thrones Ni Hili Pambano

Jon Alipojitoa Kupambana One-on-One Na Mmoja Ya white walker
It was the best