Henry Kilewo(@HenryKilewo) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Mzanzibar ambaye sio Mtanzania ila kuna Mtanzania ambaye sio Mzanzibar. Ili uweze kumiliki ardhi Zanzibar lazima uwe Mzanzibar na Mtanzania ambaye sio Mzanzibar hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.

account_circle
Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

'Kazi kubwa ya wazee ni kutoa ushauri kwa Uongozi. Pale ambapo wanatimiza malengo yao kwa mafanikio lazima tuwapongeze ndio maana leo Rais wetu ulipoingia tumekuvulia kofia. Umeitendea haki Klabu hii.

Wazee tunakupongeza kwa kulirekebisha jengo letu hili ambalo ndio hazina

Godbless E.J. Lema(@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Nilipokuwa mdogo,mama alikuwa akinituma dukani alikuwa lazima ananiambia,wakupe na chenji hata kama chenji aikuwepo,baadaye nilijua alikuwa anasema hivyo ili kama kuna kitu bei itakuwa ni chini basi mimi nisile genji.Sasa leo niliposikia Makamu katumwa na Mama na mimi nikakumbuka

account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Nilifurahia sana alipo ondoka Nabii, nikajua mwaka huu lazima tuchukue ubingwa now hadi nafasi ya pili hatuiwezi

Nilifurahia sana alipo ondoka Nabii, nikajua mwaka huu lazima tuchukue ubingwa now hadi nafasi ya pili hatuiwezi
account_circle
NTV Kenya(@ntvkenya) 's Twitter Profile Photo

Our Memo tonight will probably rub some people the wrong wayโ€ฆ
He said โ€œLazima iWorkโ€, and the majority of voters in the capital believed him. Now, he, alongside, the national government, must save the capital from the looming calamity. Governor Sakaja, 'Lazima uWork'.

account_circle