Karibu ndani ya Milele drive na meshack dzombo mpaka saa nne usiku.
Unaskiza show ukiwa maeneo gani Kumenyesha huko?
#MileleDrive
Unadhana serikali inaweza chukua hatua gani kuhusiana na maswala hii ya mafuriko? #MisakatoYaSato Meshack Jillani
Guess who is back??!!
@mcatricky yuko ndaaniii na Meshack Jillani mpaka 10pm. It's a Furahiday na vibes juu ya vibes.๐ฅ๐ฅ๐ฅณ๐ฅณ
Unapata burudani ukiwa wapi?
#MileleDrive #MbiliTosha