ZANZIBAR KUMENOGA: Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Awadh Maulid Mwita amebainisha mipango inayofanywa na Serikali katika kuhakikisha visiwa hivyo vinatengeneza mazingira rafiki kwenye michezo hasa mchezo wa mpira wa miguu.