Here’s what we all need to remember about Ukrainians on Vyshyvanka Day:
It is a regular weekday, which means that Ukrainians celebrate their stories and their beauty on any regular day; they have a pride that exists not just on special occasions, but on every day of their lives
Because of my amazing community amplifying my posts, I see a lot of new followers on here who are curious about Ukraine. So, here’s a bit of Lviv for you.
Please remember that Ukraine’s legacy isn’t war and destruction; it is pride, independence, and beauty. And no one can ever
Mungu anaweza kukujibu hata kama unatembea kwenye dhambi au upo nje ya mapenzi ya Mungu lakini jibu lake haliwezi kumfunua Mungu kwako. Mungu alimjibu Musa huku amechukia. Akamwambia hutoenda nchi ya ahadi. Usifurahie kujibiwa tu angalia kama unaongezeka kiroho pia.
Moja ya faida ya kufunga na kuomba ni kuuzamisha mwili, na nafsi katika Mungu. Hii huchukua kufunga na maombi ya muda mrefu. Kama utakuwa unafunga na kuomba kwa mwendelezo kwa masafa marefu utajikuta kiasi cha mwili kimefunikwa, kimeshikiliwa na kubanwa na nguvu za Mungu.
When I joined Twitter over 10 years ago, if someone had told me that Ukrainian embroidery would flood this platform in May or that our stories would be constantly amplified and shared, I wouldn't have believed them.
I would've absolutely believed that russia would cause Ukraine
Tathimini dhambi inayokuzinga inakudaka muda gani. Utakuta ni muda ambao umejitahidi angalau umeenza kutembea kwenye maombi na nidhamu kwa muda fulani. Ujue Shetani anafahamu kuna kiwango ukifika utaishinda hiyo dhambi au utahama viwango vya matokeo. So anakurudisha uanze upya.