Quattro (Weiss' Husband)(@QuattroMKII) 's Twitter Profile Photo

2024 Gundam Open Season - Kilimanjaro Bracket Round 2

Re: I AM - Gundam Unicorn (TV) VS Stand Up to The Victory - Victory Gundam

account_circle
Amos Wekesa(@wekesa_amos) 's Twitter Profile Photo

Our national flag at Kilimanjaro airport today afternoon before heading to Entebbe Via Dar salaam Tanzania

Was on time, great service as usual and yes my only fight with Uganda airlines, marketing, marketing and marketing

Sandeep Kukreti(@SundipK61956453) 's Twitter Profile Photo

With unwavering determination and relentless persistence, Marcela Maranon shattered all expectations. Despite being told she would never walk again, she defied the odds and became the first disabled woman to conquer the mighty Mt. Kilimanjaro. Her remarkable journey serves as a…

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Kilimanjaro imesimama kuhesabiwa!

Asanteni sana wana wa Kilimanjaro kwakujitokeza kwa wingi kwenye maandamano yetu ya leo, ambayo yanahitimisha awamu ya kwanza ya maandamano ngazi za mikoa.
Tumeunganisha Watu, wake kwa waume, wazee, vijana kwa watoto, na kufikisha ujumbe na…

Kilimanjaro imesimama kuhesabiwa! 

Asanteni sana wana wa Kilimanjaro kwakujitokeza kwa wingi kwenye maandamano yetu ya leo, ambayo yanahitimisha awamu ya kwanza ya maandamano ngazi za mikoa.
Tumeunganisha Watu, wake kwa waume, wazee, vijana kwa watoto, na kufikisha ujumbe na…
account_circle
Amos Wekesa(@wekesa_amos) 's Twitter Profile Photo

Me and our Captain( Uganda airlines) at Kilimanjaro airport today afternoon before heading to Entebbe via Dar.

⁦Mugabe Claude⁩ is someone I have known for many years, I remember Barak of Bar aviation telling me, this young is talented, when he piloting, I sleep he said.

Me and our Captain( Uganda airlines) at Kilimanjaro airport today afternoon before heading to Entebbe via Dar. 

⁦@MugabeClaude9⁩ is someone I have known for many years, I remember Barak of Bar aviation telling me, this young is talented, when he piloting, I sleep he said.
account_circle
Baba Mwita(@BabaMwita) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya miaka 62 ya UHURU tuna vyote hivi;

πŸ‘‰πŸ½ Mount Kilimanjaro
πŸ‘‰πŸ½ Serengeti National Park
πŸ‘‰πŸ½ Mikumi
πŸ‘‰πŸ½ Ziwa Victoria, Tanganyika
πŸ‘‰πŸ½ Makaa ya mawe
πŸ‘‰πŸ½ Bandari ya DSM
πŸ‘‰πŸ½ Gesi ya Mtwara
πŸ‘‰πŸ½ Almasi
πŸ‘‰πŸ½ Tanzanite
πŸ‘‰πŸ½ Dhahabu n.k.

CCM bado imeshindwa kumpatia mwananchi MAJI ya…

Bob Chacha Wangwe(@BobWangwe) 's Twitter Profile Photo

Updates:

Msafara wa Jeshi la Polisi unaelekea katika kijiji cha Kidia, Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya ukaguzi.

Naambiwa huko nyumbani Mzee Malisa (Baba wa Malisa) ni mgonjwa wasiwasi wangu ni kwamba huenda ukaguzi huu ukamletea shida zaidi ya kiafya. Tumuombee

siah’s husband| BonganiπŸ‡ΏπŸ‡¦ | Mamba πŸ‡ΉπŸ‡Ώ | β‚Ώ(@MkenyaMzi) 's Twitter Profile Photo

Naona majirani wamejipanga vilivyo, namuomba Mheshimiwa Duale apange friendly mechi moja ya kivita, ama wanajeshi wetu wajaribu kunyakua mlima Kilimanjaro tuone vile hiyo vita ikavyoenda .

account_circle