Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

Leo hii ndani ya Round 2 tunapiga gumzo na Gelfas fireboy firebwize na atakua anatuelezea ni nini kilichomchochea kuwa msanii na katika safari yake ya usanii ni yapi amejifunza.


Leo hii ndani ya #MamboMseto Round 2 tunapiga gumzo na Gelfas fireboy firebwize na atakua anatuelezea ni nini kilichomchochea kuwa msanii  na katika safari yake ya usanii ni yapi amejifunza. 

#MamboMseto 
#RadioNumberOne
account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

DJ Flash East Africa : Kwa wasichana wote, msipatie vijana pressure kama mvulana amekuambia anakupenda na unaona akona vision anataka mtengeneze familia pamoja mpende usimpe pressure.


account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

Leo hii ndani ya , tunatambulisha Fire Music 254 msanii chipukizi mwenye kipaji cha uimbaji. Je, uko tayari kumsikiliza?

Selly Kadot Amutabi DJ Flash East Africa

Leo hii ndani ya #MamboMseto, tunatambulisha Fire Music 254 msanii chipukizi mwenye kipaji cha uimbaji. Je, uko tayari kumsikiliza?

Selly Kadot Amutabi DJ Flash East Africa
#MamboMseto
#RadioNumberOne
account_circle