Watoto wawili wa familia moja kutoka Kata ya Mindu mkoani Morogoro, wenye umri wa miaka 11 na 12 wamekufa baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo lililopo jirani na nyumba waliyokuwa wakiishi.
#UFMUpdates