Tafiti na Ripoti mbalimbali zimekuwa zikieleza, ili Nchi na Serikali ziweze kupiga hatua kubwa Kimaendeleo, zinapaswa kujenga Taasisi Imara zinazoweza kusimamia Sheria na Taratibu bila kuingiliwa na Viongozi wanaoziongoza
#JamiiForums #GoodMorning #AmkaNaJF #Governance
Bila hawa watu hapa Duniani,kuna sheria nyingi sana zingepitishwa US na Ulaya na ingekuwa ni lazima dunia nzima kufuata hizo sheria.
#BilaGanzi
#LocalContent
'Pamoja na uwepo wa Sera ya Madini ya Mwaka 2009,bado kulikuwa na malalamiko mengi juu ya ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini.Marekebisho ya Sheria ya Mwaka ,2017 yametoa kipaumbele kwa Watanzania kushiriki katika Sekta ya Madini,' Waziri Anthony Mavunde.
'Tumewahi kuzungumza na Mhe. Rais kuhusu sheria hizi, na Waziri pia, nadhani inabidi tupange kuzungumza nao tena ili tuone hili linakwendaje. Haitapendeza hata kidogo tumalize mwaka huu na bado hatujapata mabadiliko ya sheria za habari', Dkt. Mzuri Issa, Mkurugenzi TAMWA ZNZ.