MALENGO(@Malengoo) 's Twitter Profile Photo

Mokwena Bado Wanazungushana Na Sundowns Kusaini Mkataba Mpya Simba Si Mnatajiri Namba Tano Africa 13 Duniani Chukueni Huyu😅😅📌

account_circle
iddy nonga(@iddynonga_) 's Twitter Profile Photo

🚨Huyu siku Simba ikifanya vizuri atarudi tu,nipo hapa 😂, Simba mna mashabiki wengi walioenda Yanga !!....

🚨Huyu siku Simba ikifanya vizuri atarudi tu,nipo hapa 😂, Simba mna mashabiki wengi walioenda Yanga !!....
account_circle
Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Leo MAMA SIMBA, mke wa Dj Ally B ndio dj😂😂😂😂😂

Dili la Familia 😂😂😂

Baba kaleta hela, Family wanatengeneza Content.

Oyaaaaa..

Disconect...

Video kwa Comments👇🏾👇🏾

Wasafifm(@wasafifm) 's Twitter Profile Photo

“Rais Samia yeye mpira haukuwa mambo yake, yeye aliendekeza zaidi masomo.

“Mimi hapa Tanzania ni shabiki wa hao wanaongoza kwa kuchukua makombe, nyumbani tupo mchanganyiko wapo mashibiki wa Simba wengine Yanga.
👇🏼