Mashabiki wa mpira lazima tujifunze usasa kwenye huu mchezo, jana niliona page ya Simba wamempost Mchezaji wao wa zamani Yusuph Mlipili ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa (Birthday) huu ni utaratibu wa kawaida duniani kote kwa taasisi karibia zote haswa za mpira kupost kumbukumbu za