Mamwavi Nkabasia🇹🇿(@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

CLEMENT MZINZE (19) huenda ndio kijana mdogo kushiriki fainali za CAFCC. Huu ni ushahidi kama nchi tuna wajibu wa kuwekeza ktk accademy za michezo ili kuinua vipaji nchini. Hatuwezi kufika tunakotamani kwa ramli za siasa. Vilabu navyo viwekeze ktk timu za vijana kikamilifu.

account_circle
MwanaHabari(@MwanaHabariNews) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora umekamilisha uchunguzi kifo cha Nusura Hassan na kuwa hakihusiani na ajali ya gari ya Naibu Waziri Dkt. Dugange na uchunguzi haukupata ushahidi wa ukiukwaji wa haki za binadamu katika kifo chake.

Kolnerio Frances Odongo(@KolnerioO) 's Twitter Profile Photo

Azimio la bunge la kubinafsisha bandari ya DSM liliwekwa kwenye website yao. Baada ya wananchi kupiga kelele bunge limeondoa haraka azimio hilo kwenye website yake. Huu ni ushahidi kwamba kuna nia ovu. Kama azimio lina nia njema kwanini wameondoa?

Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Kama kuna mtu yeyote ana maneno yoyote ya mambo yasiyofaa yamefanyika kwenye wizara yetu [Wizara ya Nishati], aje ayaseme, alete ushahidi, tuzungumze.” - January Makamba, Waziri wa Nishati

Daniel D. Odongo(@AverageUgandan) 's Twitter Profile Photo

Attending ? Join Ushahidi for a thought-provoking session that delves into the pivotal role of citizen voices in driving climate action. I will be facilitating the session alongside Rhoda Omenya. 🌿🌎

account_circle
Daniel D. Odongo(@AverageUgandan) 's Twitter Profile Photo

After the productive discussions at the Potsdam Spring Dialogues 2023 by GIZ & sef :, I'm excited to share my reflections in this submission to the INEF/ Uni Duisburg-Essen [University of Duisburg-Essen] blog — Sowing the seeds with lessons from across Africa. Ushahidi

account_circle
Gpixel Picture911(@GpixelP) 's Twitter Profile Photo

Nimegundua humu watu hamjazoea kumiliki pisi kali kabisa...nawaonyesha kila ushahidi na bado mnapinga.

Anyway acha niendelee kuishi pazuri🔥

account_circle
Kigogo Media Inc.(@kigogo2014) 's Twitter Profile Photo

Indonesia, Ufilipino na Senegal umesema kuna vilio kuhusu kampuni hii. Tusaidie kujua wanalilia nini? Unashindwa kusema na kuandika kwa sababu hii ndiyo aina ya siasa zenu kwenye mambo ya maana na ni tabia yenu kuropoka mambo bila ushahidi.

DP World imewekeza jumla ya 1.3bn usd…

INEF(@INEFDuisburg) 's Twitter Profile Photo

Sowing the seeds - Daniel D. Odongo (Daniel D. Odongo) examines how African innovations can contribute to global food security
uni-due.de/inef/blog/sowi…

account_circle
Ushahidi(@ushahidi) 's Twitter Profile Photo

📢Attention registered attendees! Join us as we explore the pivotal role of citizen engagement in advancing climate action and promoting social justice. Discover real-life examples from Kenya & dive into the transformative potential of citizen voices in driving change.

📢Attention registered #RightsCon attendees! Join us as we explore the pivotal role of citizen engagement in advancing climate action and promoting social justice. Discover real-life examples from Kenya & dive into the transformative potential of citizen voices in driving change.
account_circle