TRT Afrika Swahili(@trtafrikaSW) 's Twitter Profile Photo

Wakristo duniani wanaungana na wenzao nchini Uganda tarehe 3 Juni kuadhimisha siku ya Mashahidi wa Uganda.ย 

Hili ni tukio la kila mwaka lenye lengo la kukumbuka Wakatoliki 22 na Waanglikana 23 waliouawa hasa kwa sababu walikataa kushutumu dini ya Ukristo.

account_circle
# Inspiration toward islam(@UWazungu) 's Twitter Profile Photo

Yesu alikua muislam; โœŒ๏ธ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ
Maana wayahudi walimuua na sasa wanaua wafuasi wa yesu huko ghaza๐Ÿคฃ
Kwanini hawawaui wakristo?..๐Ÿค”๐Ÿค”

account_circle
Sarahmachotv(@sarahmachotv) 's Twitter Profile Photo

Nimemnukuu 'warumi na wagiriki walitumia miaka 500 kutengeneza stori ya matendo yote ya bwana yesu aje aonekanaje mbele ya wakristo, kwahiyo yesu unayemuona kwenye biblia hii ni yesu aliyepangwa na wagiriki na warumi, lakini ukweli ni kwamba bwana yesu sio mungu' ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ข

account_circle
# Inspiration toward islam(@UWazungu) 's Twitter Profile Photo

WAKRISTO MAHALI SHETANI KAWAFIKISHA SASA NI ZAIDI YA JAHANNAM ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿค”

๐Ÿ‘‰JAMAA ANANYONYA MATITI YA WANAWAKE ETI ANATOA KANSA YA MATITI KANISANI?

account_circle
The mandevu(@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Mtabisha ila huu ndiyo ukweli Wakristo wanafundishwa upendo kwa watu wote, Waislamu wanafundishwa upendo kwa Muislam mwenzake tu.

MedhaneMartins๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช(@MedhaneMartins) 's Twitter Profile Photo

KFCB boss Ezekiel Mutua prays for Bishop/ Reverend /Pastor Kanyari! ๐Ÿ™„
Ile ushenzi ambayo iko kwa wakristo imefanya hata yesu aihirishe kurudi kwake? ๐Ÿšฎ

account_circle
The Fact(@Fact_kabisa) 's Twitter Profile Photo

Kwanini Upendo TV hawawezi kuweka wimbo wa Romani catholic ?

Na vivyo hivyo Tumaini TV hawawezi kuweka wimbo wa protestant yaani (KKT, Anglican, Moravian,sabato n.k?) na wote ni wakristo kunashida gani?

Nuru๐ŸŒน๐ŸŒน(@nuru_yumyum) 's Twitter Profile Photo

Changamoto za ndoa ni nyingi na zipo kila mahali LAKINI inapokuja changamoto ya TENDO LA NDOA, kwa hapa kwetu, NDOA ZA WAKRISTO, HASA WALE WALOKOLE/WAFIA DINI SANA, ndiyo wahanga zaidi kuliko makundi, mengine.

Na wenye shida zaidi wengi ni wanawake kuliko wanaume.
Shida ni nini?

benjamin benedicto(@benboe004) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU KUHUSU JIJI LA FATIMA LINALOTEMBELEWA SANA NA WAKRISTO KUTOKA KOTE DUNIANI
๏ฟผ
Zaidi ya karne moja iliyopita, kijiji cha Fatima katikati mwa nchi ya Ureno kilikuwa eneo la mashambani lililoshiriki sana katika ufugaji wa kondoo.

Leo, ni sehemu kuu ya ibada au vinginevyo

Bessy(@MuneneMakena) 's Twitter Profile Photo

Tumepewa neema ya kifalme.(Ufunuo 1:6)

Unapoelewa upako huu, unaweza hata kuongoza kutoka nyuma.ย 
Kwa bahati mbaya, tuna Wakristo ambao wamevutiwa na vyeo na nafasi. Wanadhani kuna ulazima mtu awe maarufu ili awe mfalme.

Hiyo sivyo.

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa biblia, hakuna yeyote anayeweza kwenda mbinguni bila kumwamini Yesu. Kwenye Yohana 14:6 Yesu anasema yeye ndio njia, kweli, na uzima, hakuna yeyote anayeweza kwenda kwa baba except kwa kupitia kwake.

Kwa lugha nyingine, ni Wakristo tu ndio wenye nafasi ya kwenda

Andri๐•(@andrewerasmii) 's Twitter Profile Photo

Ujuzi ni kujua, hekima ni matumizi yake. Tuna hekima ya kutosha kama Wakristo kujua kwamba mambo fulani hayafai kufanywa.

Hili ni kanisa na wana namna Yao ya kufanya mazishi

Inashangaza sana ,kuruka ruka,kujilaza chini na shangwe kama lote ๐Ÿ™Œ๐ŸŒ

Video kwa comment ๐Ÿ‘‡

Hannah(@AnnMbatha13) 's Twitter Profile Photo

Tumepewa neema ya kifalme.(Ufunuo 1:6)

Unapoelewa upako huu, unaweza hata kuongoza kutoka nyuma.ย 
Kwa bahati mbaya, tuna Wakristo ambao wamevutiwa na vyeo na nafasi. Wanadhani kuna ulazima mtu awe maarufu ili awe mfalme.

Hiyo sivyo.

account_circle
The Fact(@Fact_kabisa) 's Twitter Profile Photo

Tangu Mwanzo Quran inatambua kutuhumiwa kukopi Kwa wakristo Surat Al-Ma'idah Aya ya 14 inaeleza tuhuma hizo, hii inaonesha kuwa swala la kudaiwa kukopi Kwa wakristo halijaanza Leo kwani Quran in Miaka 1400 na tuhuma hizo Zipo ndani ya Quran kuonesha kutambua Hilo.