Tundu Lissu ni moja ‘forefront soldiers’ wa kupigania “Zanzibar kamili”. Lakini, Tanganyika haipo. Zanzibar ipo lakini inapokea maelekezo kutoka Dodoma. Msimamo wa CHADEMA katika muundo wa Muungano ni serikali tatu. Shirikisho, Zanzibar na Tanganyika. Hasira mnatoa wapi?
It is a privilege to identify myself as a Zanzibari, in accordance with the Zanzibar Constitution, which recognises our unique identity. This esteemed document enshrines our status as people of Zanzibar, affirming us as Zanzibari.
Lissu anauliza inakuwaje Zanzibar yenye wapiga kura chini ya laki tano ina majimbo hamsini na wabunge 80 JMT wakati jimbo moja la Ubungo lina wapiga kura wengi karibu mara mbili ya Zanzibar?
Hii document ya CIA hapa chini inasema maamuzi ya kuwapa Zanzibar viti vingi bungeni