Tanzania Government(@tanzaniagov) 's Twitter Profileg
Tanzania Government

@tanzaniagov

Tumia kurasa hii kujadili mambo yatakayoleta maendeleo ya nchi na si SIASA.

ID:4653048442

linkhttp://www.tanzania.go.tz calendar_today30-12-2015 10:47:25

52 Tweets

4,7K Followers

7 Following

Follow People
Tanzania Government(@tanzaniagov) 's Twitter Profile Photo

Rais Magufuli leo amemteua Ndg. Mathias Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan. Uteuzi umeanza13 April 2016.

account_circle
Tanzania Government(@tanzaniagov) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dr. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela kuanzia leo.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amerejea nyumbani akitokea nchini Rwanda alipokwenda kwa ajiri ya shughuli ya kikazi.