The University of Dodoma(@udomofficial) 's Twitter Profileg
The University of Dodoma

@udomofficial

ID:1017677577467637761

linkhttp://www.udom.ac.tz calendar_today13-07-2018 07:50:16

106 Tweets

2,3K Followers

73 Following

The University of Dodoma(@udomofficial) 's Twitter Profile Photo

Ndugu mwananchi, karibu katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu ya Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Bunifu mbalimbali za wanafunzi na wanataaluma zitaoneshwa. Sambamba na hayo, kutakuwa na huduma ya kutengeneza simu na kompyuta

Ndugu mwananchi, karibu katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu ya Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Bunifu mbalimbali za wanafunzi na wanataaluma zitaoneshwa. Sambamba na hayo, kutakuwa na huduma ya kutengeneza simu na kompyuta
account_circle
The University of Dodoma(@udomofficial) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Faustine K. Bee anasikitika kutangaza kifo cha Dkt. Levinus L. Mapenzi kilichotokea tarehe 18 Mei, 2021. Marehemu alikuwa Mhadhiri kutoka Idara ya Biolojia katika Ndaki ya Sayansi Asilia na Hisabati.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Faustine K. Bee anasikitika kutangaza kifo cha Bw. James Emanuel kilichotokea tarehe 03 Mei, 2021. Marehemu alikuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Kompyuta Mwaka wa Pili.Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika.

Baraza la Chuo na Menejimenti inawatakia Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Wafanyakazi wote Nchini Maadhimisho mema ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.
Kauli Mbiu: Maslahi Bora, Mishahara Juu
Kazi Iendelee

Baraza la Chuo na Menejimenti inawatakia Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na Wafanyakazi wote Nchini Maadhimisho mema ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. Kauli Mbiu: Maslahi Bora, Mishahara Juu Kazi Iendelee
account_circle
The University of Dodoma(@udomofficial) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Prof. Faustine K. Bee anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Nickanori M. Martin kilichotokea tarehe 29 Aprili, 2021. Marehemu alikuwa Fundi Mchundo kutoka Kurugenzi Miliki. Mazishi yatafanyika Kikuyu, Dodoma tarehe 01 Mei, 2021 Saa Kumi Jioni.

INVITATION TO APPLY FOR
POSTGRADUATE DIPLOMA, MASTERS AND PhD PROGRAMMES
FOR THE 2021/2022 ACADEMIC YEAR.
UDOM ONLINE APPLICATION SYSTEM (UOAS) AVAILABLE AT:- application.udom.ac.tz
FOR MORE INFORMATION PLEASE VISIT:- udom.ac.tz

account_circle
The University of Dodoma(@udomofficial) 's Twitter Profile Photo

TWO PHD SCHOLARSHIP UNDER THE CASH-IN RESEARCH PROJECT AT THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – RE-ADVERTISEMENT UDOM ONLINE APPLICATION SYSTEM (UOAS) AVAILABLE AT:- application.udom.ac.tz
FOR MORE INFORMATION PLEASE VISIT:- udom.ac.tz

TWO PHD SCHOLARSHIP UNDER THE CASH-IN RESEARCH PROJECT AT THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) – RE-ADVERTISEMENT UDOM ONLINE APPLICATION SYSTEM (UOAS) AVAILABLE AT:- application.udom.ac.tz FOR MORE INFORMATION PLEASE VISIT:- udom.ac.tz
account_circle
The University of Dodoma(@udomofficial) 's Twitter Profile Photo

Baraza la Chuo pamoja na Jumuiya nzima ya Chuo Kikuu cha Dodoma tunawapongeza Dkt. Leonard D. Akwilapo, Prof. James Epiphan Mdoe na Prof. Carolyne Ignatus Nombo kwa kuaminiwa tena kuiongoza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Tunawatakia mafanikio katika uongozi wenu kwa Umma

INVITATION TO APPLY FOR POSTGRADUATE PROGRAMMES FOR THE 2021/2022 ACADEMIC YEAR. UDOM ONLINE APPLICATION SYSTEM (UOAS) AVAILABLE AT:- application.udom.ac.tz