Wasafifm
@wasafifm
The official Twitter page for Wasafi FM #SendYourMusic to [email protected]
ID:942026498533478400
https://wasafimediagroup.co.tz 16-12-2017 13:39:54
16,4K Tweets
139,7K Followers
1 Following
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania wameshiriki zoezi la kupanda miti katika eneo la Medeli jijini Dodoma.
#WasafiDigital
Mwanzo wa msimu wowote mambo huwa ni mengi na ya kufurahisha.
Msimu wa 2023/24 ulikuwa na matukio mengi na hili ni moja wapo.
Simba Sc wao walizundua jezi zao za msimu huu katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, tukio liliopongezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#WasafiSports
Tetesi za msimu huu zisipoishia kuwa tetesi kama kawaida na wakafanikiwa kumtwaa Clatous Chama na kumvalisha uzi wa kijani, Unatamani kumuona Chama akiwa na Jezi namba ngapi pale Jangwani ?
#WasafiSports
DONDOO ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA TANZANIA
Mei 2024, Mwezi ambao Tanzania imezindua Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi (2024-2034). Lengo ni kuhakikisha kuwa ifikapo 2033/2034, 80% ya Watanzania kuwa na uwezo wa kupata nishati safi ya kupikia
#IkuluMawasiliano #IkuluTanzania
Ni sifa gani zinafanya mtu kuwa Mwenyenchi na sifa gani zinamfamya mtu awe Mwananchi ?
Tuambie kwenye comment utofauti wa Mwenyenchi na Mwananchi
#WasafiSports