Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profileg
Wizara ya Elimu Tanzania

@wizara_elimuTz

This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology.

ID:707131141090885632

linkhttp://www.moe.go.tz calendar_today08-03-2016 09:09:36

1,6K Tweets

75,7K Followers

62 Following

Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.

account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Walikwa mbalimbali katika Hafla ya Utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024 wakifatilia shughuli zinazoendelea katika ukumbi wa Super Dome uliopo jijini Dar es Salaam

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inampongeza Laura Pettie Kisswaka kuwa Mshindi wa Kwanza katika Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024 nyanja ya Riwaya

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inampongeza Blandina Isabela Lucas kwa kuwa Mshindi wa Kwanza katika Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024 nyanja ya Hadithi za Watoto

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inampongeza Mohamed Omar Juma kwa kuwa Mshindi wa Kwanza katika Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024 katika nyanja ya Ushairi

Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu imelenga kuongeza hamasa ya kukuza elimu, ujuzi, na matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu kama nyenzo za kutatua changamoto za kiuchumi na kijamii na kuchagiza maendeleo ya Taifa

Prof. Adolf Mkenda
WikiyaElimuUjuziUbunifu2024

Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu imelenga kuongeza hamasa ya kukuza elimu, ujuzi, na matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu kama nyenzo za kutatua changamoto za kiuchumi na kijamii na kuchagiza maendeleo ya Taifa Prof. Adolf Mkenda WikiyaElimuUjuziUbunifu2024
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi cha mwaka 2019 na 2023 zaidi ya bunifu 2,000 zimetambuliwa, takriban 300 zinaendelezwa. Bunifu 42 zimefikia hatua ya kubiasharishwa na zipo sokoni.

Prof. Adolf Mkenda
WikiyaElimuUjuziUbunifu2024

Katika kipindi cha mwaka 2019 na 2023 zaidi ya bunifu 2,000 zimetambuliwa, takriban 300 zinaendelezwa. Bunifu 42 zimefikia hatua ya kubiasharishwa na zipo sokoni. Prof. Adolf Mkenda WikiyaElimuUjuziUbunifu2024
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itatoa fursa kwa Wabunifu na Watafiti nchini kuonana na wawekezaji wanaoweza kuchangia kwa namna mbalimbali katika kuendeleza na kubiasharisha matokeo ya tafiti na bunifu.

Prof. Adolf Mkenda
WikiyaElimuUjuziUbunifu2024

Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu itatoa fursa kwa Wabunifu na Watafiti nchini kuonana na wawekezaji wanaoweza kuchangia kwa namna mbalimbali katika kuendeleza na kubiasharisha matokeo ya tafiti na bunifu. Prof. Adolf Mkenda WikiyaElimuUjuziUbunifu2024
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 itafanyika Mkoani Tanga kuanzia tarehe 25 hadi 31 Mei 2024 katika Viwanja vya michezo vya Shule ya Sekondari Popatlal. Kaulimbiu 'Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa Uchumi Shindani'.

Prof. Adolf Mkenda

Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 itafanyika Mkoani Tanga kuanzia tarehe 25 hadi 31 Mei 2024 katika Viwanja vya michezo vya Shule ya Sekondari Popatlal. Kaulimbiu 'Elimu, Ujuzi na Ubunifu kwa Uchumi Shindani'. Prof. Adolf Mkenda #WikiyaElimuUjuziUbunifu2024
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Mageuzi ya Elimu tunayoanza nayo yanahitaji ujasiri mkubwa sana, kwa sababu matunda yake hayaonekani kesho wala keshokutwa, yana mchakato mrefu matokeo yake yataonekana mbele ya safari.

Prof. Adolf Mkenda
waTathimini Sekta ya Elimu - Dodoma

Mageuzi ya Elimu tunayoanza nayo yanahitaji ujasiri mkubwa sana, kwa sababu matunda yake hayaonekani kesho wala keshokutwa, yana mchakato mrefu matokeo yake yataonekana mbele ya safari. Prof. Adolf Mkenda #Mkutano waTathimini Sekta ya Elimu - Dodoma
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tunamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuielekeza Wizara kusimamia na kufanya mabadiliko ya Sera ya Elimu na Mitaala. Matunda ya mageuzi haya ni makubwa kwa Taifa hili kwa kizazi cha sasa na baadae.

Prof. Adolf Mkenda
waTathimini Sekta ya Elimu - Dodoma

Tunamshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuielekeza Wizara kusimamia na kufanya mabadiliko ya Sera ya Elimu na Mitaala. Matunda ya mageuzi haya ni makubwa kwa Taifa hili kwa kizazi cha sasa na baadae. Prof. Adolf Mkenda #Mkutano waTathimini Sekta ya Elimu - Dodoma
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tunawaheshimu sana Walimu, Serikali itaendelea kutoa vipaumbele kwa Walimu wa nyanja mbalimbali kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika utekelezaji wa mageuzi katika Elimu.

Prof. Adolf Mkenda
waTathimini Sekta ya Elimu - Dodoma

Tunawaheshimu sana Walimu, Serikali itaendelea kutoa vipaumbele kwa Walimu wa nyanja mbalimbali kuhakikisha wanashiriki kikamilifu katika utekelezaji wa mageuzi katika Elimu. Prof. Adolf Mkenda #Mkutano waTathimini Sekta ya Elimu - Dodoma
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Tunawashukuru Wadau wote wa Maendeleo kwa mchango mkubwa wa Kitaaluma na fedha kuhakikisha Kongamano la Mwaka na Tathimini ya Sekta ya Elimu linafanikiwa.

Prof. Adolf Mkenda
wa Tathimini Sekta ya Elimu - Dodoma

Tunawashukuru Wadau wote wa Maendeleo kwa mchango mkubwa wa Kitaaluma na fedha kuhakikisha Kongamano la Mwaka na Tathimini ya Sekta ya Elimu linafanikiwa. Prof. Adolf Mkenda #Mkutano wa Tathimini Sekta ya Elimu - Dodoma
account_circle
Wizara ya Elimu Tanzania(@wizara_elimuTz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof . Adolf Mkenda, Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo wakizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda katika sherehe ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Aprili 2, 2024 Mkoani Kilimanjaro.