Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profileg
Holy

@yose_hoza

Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication Engineer

ID:3039495909

calendar_today15-02-2015 19:26:56

385,2K Tweets

153,3K Followers

32,2K Following

Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mambo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Maagizo kutoka juu yanaelekeza Watanzania, na Wana Afrika Mashariki na Kati wote kuwa macho saa 6 usiku bila kupepesa, mjuze na mwenzio, Rais @officialalikiba amesema

Kaa karibu na kurasa zetu zote.

Mambo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Maagizo kutoka juu yanaelekeza Watanzania, na Wana Afrika Mashariki na Kati wote kuwa macho saa 6 usiku bila kupepesa, mjuze na mwenzio, Rais @officialalikiba amesema Kaa karibu na kurasa zetu zote. #HapaNiNyumbani #WanaWaHanuHanu
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Chunya

Wakamilisha jengo la kuuza madini lengo kubwa ikiwa ni kuchenjua nchini na kuuza ili kuongeza pato la taifa

Chunya Wakamilisha jengo la kuuza madini lengo kubwa ikiwa ni kuchenjua nchini na kuuza ili kuongeza pato la taifa #MamaYukoKazini
account_circle
HappieπŸ’•(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Leo Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha.

Leo Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha. #MamaYukoKazini
account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

Ukute ile interview ya Mayele viongozi wa Makolo ndo walikua nyuma ya mchongo ili kuchafua brand ya Utopolo. Nawaza tu

account_circle
π†πŒππšππ’π¬π’(@GasparyCharlesG) 's Twitter Profile Photo

Mwenye ufahamu mzuri kuhusu Teknolojia hii ya eSIM kwenye smartphones naomba anisaidie

Faida zake na changamoto zake zipoje.

Je hii technolojia inafanya kazi vizuri kwenye Ukanda wetu hata nikiwa kijijini kwetu Kasato naweza kupatikana?

Mwenye ufahamu mzuri kuhusu Teknolojia hii ya eSIM kwenye smartphones naomba anisaidie Faida zake na changamoto zake zipoje. Je hii technolojia inafanya kazi vizuri kwenye Ukanda wetu hata nikiwa kijijini kwetu Kasato naweza kupatikana? #TecnoHUB #GMdadisi
account_circle
MIRIAMπŸ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Mfahamu Chifu Mwami Thereza Ntare II
1. Chifu Mkuu wa Kwanza Mwanamke Tanzania akitokea Kigoma.

2. Raisi wa kwanza wa Machifu Tanganyika.

3. Msemaji na muwakilishi wa masuala ya Afrika ndani ya serikali ya Kikoloni.


Mfahamu Chifu Mwami Thereza Ntare II 1. Chifu Mkuu wa Kwanza Mwanamke Tanzania akitokea Kigoma. 2. Raisi wa kwanza wa Machifu Tanganyika. 3. Msemaji na muwakilishi wa masuala ya Afrika ndani ya serikali ya Kikoloni. #MwamiTherezaNtare #HerStoryCoalition
account_circle
Steam Generation Ltd(@steamgenltd) 's Twitter Profile Photo

UWEZO UPO!
Steam Generation Company Ltd ina uwezo wa kufanya minada ya umma na binafsi kwa ufanisi mkubwa.
Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

UWEZO UPO! Steam Generation Company Ltd ina uwezo wa kufanya minada ya umma na binafsi kwa ufanisi mkubwa. Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi. #SteamGeneration #MinadaYaUmma #MinadaBinafsi
account_circle
MIRIAMπŸ’œ(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Sifa Za Chifu Tereza Mwami Ntare

Alikuwa Jasiri
Alikuwa na Fukuto
Alikuwa Mchapakazi
Alikuwa Mwenye Maadili Mema ya Kitanzania
Yote kwa Yote Alikuwa Mwanamke Mrembo sana na Mwenye Heshima


Sifa Za Chifu Tereza Mwami Ntare Alikuwa Jasiri Alikuwa na Fukuto Alikuwa Mchapakazi Alikuwa Mwenye Maadili Mema ya Kitanzania Yote kwa Yote Alikuwa Mwanamke Mrembo sana na Mwenye Heshima #MwamiTerezaNtare #HerStoryCoalition
account_circle