Zee la nyeti(@zeelanyeti17) 's Twitter Profileg
Zee la nyeti

@zeelanyeti17

hekima + juhudi

ID:1647509613175091202

calendar_today16-04-2023 07:58:13

3,1K Tweets

7,0K Followers

1,8K Following

Getrude Mollel 🇹🇿(@Getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Mungu tulikuomba Amani, ukatupa Samia.

Tukakuomba upendo, ukatupa Samia.

Tukakuomba maendeleo na mafanikio, na bado ukatupa yeye Samia.

Mungu tunakushukuru sana kwa Rais huyu, mataifa Mengi yanatamani kuwa naye lakini kwa utukufu wako na mapenzi yako kwetu umetupa yeye.

Mungu tulikuomba Amani, ukatupa Samia. Tukakuomba upendo, ukatupa Samia. Tukakuomba maendeleo na mafanikio, na bado ukatupa yeye Samia. Mungu tunakushukuru sana kwa Rais huyu, mataifa Mengi yanatamani kuwa naye lakini kwa utukufu wako na mapenzi yako kwetu umetupa yeye.
account_circle
Zee la nyeti(@zeelanyeti17) 's Twitter Profile Photo

Ukiachana na matusi ya mdude na martini pale chadema wanabakia na nini ..? Chadema is nothing ni kundi la wahuni tu who are desperately want to get into government to steal chama gani hadi leo hakina ofisi ya uhakika..?

account_circle
Zee la nyeti(@zeelanyeti17) 's Twitter Profile Photo

Ni ngumu kuelewa saikolojia ya wanyama wakiwa kwenye heat wataalam wanasema hichi ni kipindi cha simba kupandwa sana.

account_circle
Zee la nyeti(@zeelanyeti17) 's Twitter Profile Photo

Mbowe lini jamani?
Alimchukua Zitto akiwa chuo kikuu akawa mbunge kwa miaka 15, akawa Naibu katibu mkuu chadema akamfukuza akaanzisha chama akaanzisha ACT akawa Kiongozi Mkuu wa chama, Zitto amestaafu ila bado Mbowe ni Mwenyekiti.

Mbowe lini jamani? Alimchukua Zitto akiwa chuo kikuu akawa mbunge kwa miaka 15, akawa Naibu katibu mkuu chadema akamfukuza akaanzisha chama akaanzisha ACT akawa Kiongozi Mkuu wa chama, Zitto amestaafu ila bado Mbowe ni Mwenyekiti.
account_circle
Zee la nyeti(@zeelanyeti17) 's Twitter Profile Photo

shida ya kupewa masharti na waganga usisalimie watu msibani kuelekea 2025 tutaona mengi sana. Yaani Lema amepewa masharti asitoe mkono msibani…?

Hawa si walisema watu wasile nyama msibani angalia baba na mtoto wanagombea nyama msibani hii ni aibu wanatafuna nyama kama ruzuku.

account_circle
Getrude Mollel 🇹🇿(@Getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

🚨MBOWE NI DICTATOR🚨

➡️Ukitaka akutoe kwa dirishani, uliza juu ya mapato na matumizi ya chama. Yaliwakuta wengi makubwa baada ya kufanya hivyo.

🚨MBOWE NI DICTATOR🚨 ➡️Ukitaka akutoe kwa dirishani, uliza juu ya mapato na matumizi ya chama. Yaliwakuta wengi makubwa baada ya kufanya hivyo.
account_circle
Getrude Mollel 🇹🇿(@Getrude_mollel) 's Twitter Profile Photo

Ni Kweli,

Kabla ya sijaanza kuwatandika na hili, tuelezeni fedha za Ruzuku Tsh. 2.7bn/- ziko wapi?

Nikisema kwamba nina sababu zaidi ya milioni moja za kuilaani Chadema muwe mnaelewa..

account_circle