Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profileg
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

@zittokabwe

Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

ID:119385045

linkhttp://www.actwazalendo.or.tz calendar_today03-03-2010 13:48:48

157,5K Tweets

1,7M Followers

4,9K Following

Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

'Shirika la TANESCO lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe.Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’.Serikali itueleze ilichukua hatua gani baada ya kufahamu kuwa lazima wafungulie bwawa?
Serikali kupitia…

'Shirika la @tanescoyetutz lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe.Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’.Serikali itueleze ilichukua hatua gani baada ya kufahamu kuwa lazima wafungulie bwawa? Serikali kupitia…
account_circle
shangwe Ayo(@ayo_shangwe) 's Twitter Profile Photo

January 17.2022

Gazeti la Mwananchi liliandika page nzima Makala ya agenda mbili kubwa muhimu ambazo ACT Wazalendo tunazo pigania na kusimamia.

1. Tume Huru

2.Katiba Mpya

Na tumekua tukiweka bayana kwanini Tume Huru kuelekea Katiba Mpya.

Ninacho furahi ni kwamba Chama…

January 17.2022 Gazeti la Mwananchi liliandika page nzima Makala ya agenda mbili kubwa muhimu ambazo ACT Wazalendo tunazo pigania na kusimamia. 1. Tume Huru 2.Katiba Mpya Na tumekua tukiweka bayana kwanini Tume Huru kuelekea Katiba Mpya. Ninacho furahi ni kwamba Chama…
account_circle
Janeth Rithe(@JaneRithe) 's Twitter Profile Photo

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA



Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA #NECijiuzulu #INECiingie Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. @zittokabwe #NECIjiuzuru #INECiingie
account_circle
Mhonga Ruhwanya(@mhonga_m) 's Twitter Profile Photo

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA



Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. - Zitto MwamiRuyagwa Kabwe

ili

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA #NECijiuzulu #INECiingie Kuanzia keshokutwa tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024. - @zittokabwe #NECijiuzulu ili #INECiingie
account_circle
Hakainde Hichilema(@HHichilema) 's Twitter Profile Photo

Held productive meeting with representatives from the public transport, logistics & fuel tanker sectors and explored solutions to challenges that hinder movement of goods, passengers & petroleum products. These key stakeholders play a crucial role in the economic recovery of 🇿🇲

Held productive meeting with representatives from the public transport, logistics & fuel tanker sectors and explored solutions to challenges that hinder movement of goods, passengers & petroleum products. These key stakeholders play a crucial role in the economic recovery of 🇿🇲
account_circle
Wasemaji wa Kisekta(@ACTBarazaKivuli) 's Twitter Profile Photo

'Hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi ambao utasimamiwa kinyume cha sheria; na sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi inataka itungwe Sheria ya Kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.'

Waziri Mkuu Kivuli wa ACTWazalendo
Isihaka Mchinjita

account_circle
Isihaka Mchinjita(@MchinjitaIR) 's Twitter Profile Photo

Hatua hii iliyokuja kwa kuchelewa tena baada ya kukumbushwa iambatane na tathmini ya kına ya hasara iliyosababishwa na kuachiwa maji JNPH Kuelekea maeneo haya. Serikali haipaswi kuepa uwajibikaji na kuweka misingi imara ya kudhibiti majanga zaidi.

account_circle
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe(@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

Shirika la TANESCO lilijua kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linajaa na lazima maji yafunguliwe. Maji yalifunguliwa bila kutoa tahadhari kwa wananchi wa ‘downstream’. Serikali itueleze ilichukua gani baada ya kufahamu kuwa lazima wafungulie bwawa?

Tunajua kuwa huko upstream,…

account_circle
Mwanaisha Mndeme(@Mwanaishamndeme) 's Twitter Profile Photo

UHALALI KISHERIA v UHALALI KISIASA



Kuanzia kesho tarehe 12 April 2024 Sheria Mpya ya Tume Huru ya Uchaguzi inaanza kutumika kwa mujibu wa GN no. 225 ya 29 Machi, 2024.

Endapo masharti ya Kifungu cha 5 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi…

account_circle
Ayker-Adila(@AykerP) 's Twitter Profile Photo

It's people like Nyambura Moremi who give me courage to stand on principles regardless of whether the 'boss' is in favour or not. Hongera sana, well deserved. &Time

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwanasiasa mashuhuri nchini Zitto Kabwe ameweka msisitizo shinikizo linalopigiwa chapuo na chama cha ACT Wazalendo linalotaka wajumbe wote wa 'Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)' wajiuzulu ili kupisha mchakato wa kuwapata wajumbe wapya wa 'Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)' ili matakwa…

Mwanasiasa mashuhuri nchini Zitto Kabwe ameweka msisitizo shinikizo linalopigiwa chapuo na chama cha ACT Wazalendo linalotaka wajumbe wote wa 'Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)' wajiuzulu ili kupisha mchakato wa kuwapata wajumbe wapya wa 'Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)' ili matakwa…
account_circle
Tanzania Business Insight(@TanzaniaInsight) 's Twitter Profile Photo

𝗩𝗜𝗡𝗗𝗜𝗖𝗔𝗧𝗘𝗗 𝗔𝗧 𝗟𝗔𝗦𝗧

𝗧𝗼𝗽 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮𝗻 𝘀𝗰𝗶𝗲𝗻𝘁𝗶𝘀𝘁 𝘀𝗮𝗰𝗸𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗠𝗮𝗴𝘂𝗳𝘂𝗹𝗶 𝗱𝘂𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗖𝗼𝘃𝗶𝗱-𝟭𝟵 𝗱𝗲𝗻𝗶𝗮𝗹 𝗿𝗲𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝘁𝗲𝗱 𝟰 𝘆𝗲𝗮𝗿𝘀 𝗹𝗮𝘁𝗲𝗿

◾National health laboratory chief Nyambura Moremi has been reappointed to…

𝗩𝗜𝗡𝗗𝗜𝗖𝗔𝗧𝗘𝗗 𝗔𝗧 𝗟𝗔𝗦𝗧 𝗧𝗼𝗽 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮𝗻 𝘀𝗰𝗶𝗲𝗻𝘁𝗶𝘀𝘁 𝘀𝗮𝗰𝗸𝗲𝗱 𝗯𝘆 𝗠𝗮𝗴𝘂𝗳𝘂𝗹𝗶 𝗱𝘂𝗿𝗶𝗻𝗴 𝗖𝗼𝘃𝗶𝗱-𝟭𝟵 𝗱𝗲𝗻𝗶𝗮𝗹 𝗿𝗲𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝘁𝗲𝗱 𝟰 𝘆𝗲𝗮𝗿𝘀 𝗹𝗮𝘁𝗲𝗿 ◾National health laboratory chief Nyambura Moremi has been reappointed to…
account_circle
Reckya MADOUGOU(@MadougouReckya) 's Twitter Profile Photo

Aïd Mubarak à tous !

Que les vertus d’amour du prochain, de magnanimité, d'humilité et de bienveillance que nous avons acquis lors du mois sacré du Ramadan continuent d'illuminer nos chemins quotidiens. Puisse chaque jour être une quête pour percevoir en tout être une âme sœur,…

Aïd Mubarak à tous ! Que les vertus d’amour du prochain, de magnanimité, d'humilité et de bienveillance que nous avons acquis lors du mois sacré du Ramadan continuent d'illuminer nos chemins quotidiens. Puisse chaque jour être une quête pour percevoir en tout être une âme sœur,…
account_circle
Mkwera(@Muhidinmkwera) 's Twitter Profile Photo

Mtu kaharibikiwa na shamba la kumlisha yeye na familia yake kwa mwaka mzima, unapompa kilo mbili tatu za unga hujamsaidia kitu. Sisi ACTWazalendo kupitia Waziri Mkuu Kivuli, Isihaka Mchinjita, tumetaka Serikali itoe fidia stahiki badala ya kile inachokiita msaada.


account_circle
Dotto Rangimoto🇹🇿🇨🇳(@JiniKinyonga) 's Twitter Profile Photo

Mtu kaharibikiwa na shamba la kumlisha yeye na familia yake kwa mwaka mzima, unapompa kilo mbili tatu za unga hujamsaidia kitu. Sisi ACTWazalendo kupitia Waziri Mkuu Kivuli, Isihaka Mchinjita, tumetaka Serikali itoe fidia stahiki badala ya kile inachokiita msaada.


account_circle