Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profileg
Anna Tibaijuka

@AnnaTibaijuka

Retired 1. UN Under Secretary General & 2. Executive Director UNHABITAT 3. Tanzanian MP and Minister.

ID:373853455

linkhttp://annatibaijuka.org calendar_today15-09-2011 08:55:35

368 Tweets

29,4K Followers

29 Following

Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Wahanga wa masheli katika makazi tunawalilia EWURA Chombo pekee kusikiliza migogoro ya mafuta. Mahakama nyingine haziruhusiwi. Mnapojitoa mkisingizia mgongano wa maslahi mnakataa kazi yenu kisheria. Kama kuna maafisa EWURA wenye mgongano wa maslahi na swala letu ndio wajitoe

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Poleni sana wahanga mafuriko bonde la mto Rufiji. Bwawa la Nyerere halijayasababisha lakini mbali na umeme lilitarajiwa kuREGULATE mafuriko hayo Limeshindwa. Tudai kujua kwa nini na kurekebisha tukitambua hasara ya kutekeleza miradi mikubwa bila kuzingatia utaalamu madhubuti

Shukrani mlioshiriki kumpumzisha dada mlezi Ma Antonia Muleba tarehe 04 Machi. Baba Askofu Kilaini kuongoza ibada Paroko Watawa na Viongozi wa Chama na Serikali mkiongozwa na RC Kagera Fatma Mwasa. Fr Kamugisha kutufunda kuwa Dada ataishi tukiiga mfano wake mwema ATAFA ASIFE

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mama Sitti Rais Hussein Mwinyi Familia Poleni. Taifa litakuenzi milele kwa uongozi hekima. Wanawake rukhsa kuunda baraza huru BAWATA kujipigania hata kama lilikuja sitishwa na mahafidhina. Tukapewa haki kumiliki ardhi katika ndoa-spousal consent Imani sharti kuheshimiana RIP

Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu 'UNAJUA
ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP

Familia Lowassa poleni. Taifa twaomboleza kifo cha Kiongozi STATESMAN. Nilishuhudia ukiweka maslahi ya nchi mbele ya yako. Jina lilipokatwa nilikushauri ubaki CCM kimfumo uwezekano kutangazwa mshindi ukitokea upinzani HAUPO Ukanijibu 'UNAJUA ila hutaki MANYANYASO kuendelea. RIP
account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mgombea binafsi ataimarisha vyama vya siasa na utawala bora kwani upendeleo na kukata wagombea wanaoungwa mkono na wanachama kura za maoni utapungua Wanawake wenye sifa hawatalazimishwa kugombea viti maalum kupisha wanaume majimboni. Kama uraia pacha ni haki iliyocheleweshwa

Pongezi kwa Mhe Jerry Slaa Waziri wa Ardhi na Makazi kusimamisha ujenzi holela wa vituo vya mafuta katika maeneo yasiyofaa na visipohitajika kwa kubadilisha matumizi ya ardhi kiujanja kinyume cha sheria na taratibu. Waziri amerejesha imani kwa waathirika nchi nzima Tunamshukuru

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Zoezi kuvunja madanguro DSM lina nia njema lakini mazoezi aina hiyo yaliyotangulia HAYAKUFANIKIWA Jibu sahihi kupunguza WATEJA kwa kuwawezesha kiuchumi WAOE. Wengi hawaoi kwa sababu kipato kidogo wasichana wanabaki kushindania wanaume wachache.Dhana potofu wanawake wengi inaenea

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Hongera Prudentia Paul Kimiti Kutunukiwa nishani MBE ya Malkia Uingereza kabla ya kufariki kwa uanaharakati wako kutetea wahamiaji dhidi ya ubaguzi na manyanyaso. Fundisho kwetu kuwathamini wanaharakati badala ya masimango na mipasho Ukosoaji wao huboresha utawala na ustawi

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu Nyerere 2023 Tunaendelea kuenzi maono na malezi yako mema. Kama taifa tujitambue.Tujisahihishe. Tulinde rasilimali zetu. Tujenge hoja bila kelele. Tujitegemee kwani TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO.Kuna kuyumba katika eneo hili.Utuombee nasi twakuombea pumziko la milele

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

30.09.2023 Tanzania ilipong'ara tena Roma Hongera Mwadhama Protase Cardinal Rugambwa kusimikwa rasmi na Baba Mtakatifu Francis. Tunamshukuru Mungu pia Maaskofu na wote waliokusindikiza Wametuwakilisha vyema. Miaka 63 tangu Laurean Rugambwa na 25 tangu Polycarp Pengo wasimikwe

Naomba mnisaidie kusambaza ujumbe huu muhimu kuhusu nafasi za ufadhili kwa wasichana hodari. Masomo ya Form V shule ya bweni. Asanteni.

Mkataba wa bandari Ninaishukuru TEC kusimama imara. Propaganda za UDINI zisituchonganishe bure. Hoja ni kasoro za Mkataba sio DINI za viongozi Hakuna aliyeandamana na Mashehe au Maaskofu huko Dubai kuutia saini Msikilize Julius Malema akipinga ukodishaji bandari Afrika Kusini

account_circle
Anna Tibaijuka(@AnnaTibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Mkataba wa Bandari Naleta Hoja 10 za kiuchumi katika uboreshaji. Agizo la Rais ni UBIA na faida zake lakini tumeibuka na lease agreement Why?Serikali Dubai haitoi pesa Dpw itakopa na ikilimbikiza madeni kodi inaepukika Mizigo kuwa Rwanda ni faida kwetu tukijiendesha kiubia. nkd

TANZIA. WAHITIMU SEKONDARI ILBORU 1962-1970. Masikitiko kifo cha Mwalimu wenu wa Geografia na Kingereza Mzee Johnson miaka 93. Anazikwa leo Norway. Tumuombee raha ya milele. Kapiga vita vilivyo vizuri. Ni kizazi kilichoamini WaAfrika tukielimika tutajikomboa. Tusiwaangushe R.I.P

Mkataba wa bandari. DC Msando naomba utambue kutofautiana na mtu kwa hoja hakumfanyi MUONGO na wewe MKWELI. Ni kuonesha udhaifu wa kushawishi kwa nguvu ya hoja na kutumia hoja ya nguvu (intimidation). Naleta maelezo zaidi ya neno territory na dhana yake tuendelee kuelimishana.

Mkataba tata wa bandari Wanaohangaika na CV za wastaafu wanaishia kuchafua za kwao kwa kutuonyesha hata hawajui huitaji kuwa Mwanasheria kuijua sheria kifungu kwa kifungu Ni elimu ya uraia ya lazima kwa kila mwananchi anayejitambua Nasisitiza Mkataba haufai bila kurekebishwa

Mkataba wa Bandari. DC Albert Msando. Unanikejeli ninapotosha neno anga lipo kwenye TERRITORY ambayo unadai ipo definitions tu. Nakuletea ushahidi neno territory na dhana yake lipo sehemu kadhaa ibara 12(1); 19; 30(2). Kwa mantiki hiyo aliyevamia mtumbwi wa vibwengo atajulikana.

Mkataba Bandari. Kifungu 4(2) kinatufunga. Sheria yetu ya tafsiri Kifungu 53 (1) na (2) viko wazi Jambo la kiutashi tumia neno MAY. Kama lazima tumia SHALL. Mkataba unatumia WILL kinyume cha sheria. Unaacha mwanya kuibua mgogoro kwani SHALL na WILL ni mbadala -interchengeable