Lulu Hassan
@LuluHassan
BA @DownyKenya : CEO @Jiffypictures
ID:188615792
http://www.jiffypictures.co.ke 09-09-2010 04:26:02
28,5K Tweets
531,1K Followers
552 Following
Meli ya MV Diana yenye watalii 56 yatia nanga Lamu
Sekta ya utalii yaendelea kuimarika kaunti ya Lamu
#SemaNaCitizen
Mawakala wa bima wataka mahakama ya bima ibuniwe
Mawakala wasema wateja wengi hucheleweshewa fidia
#SemaNaCitizen
Wakandarasi na wafanyabiashara wengi hawajalipwa
Wasambazaji bidhaa wanadai kaunti ya Kilifi Ksh.1.5b
#SemaNaCitizen
Mkazi aliwasilisha hoja ya kumtimua gavana wa Kajiado
Kamati ya madiwani 11 yachambua hoja iliyowasilishwa
Gavana Ole Lenku anatuhumiwa kutumia mamlaka vibaya
#SemaNaCitizen
Utovu wa usalama Archers Post:
Wafanyabiashara wataka mji uwekwe taa za barabarani
Wakazi walalamika kuwa uhalifu umeongezeka mjini
#SemaNaCitizen
Muungano wa makanisa wataka serikali igeuze mbinu
Vijana wengi wangali wanatumia dawa za kulevya
Maisha: Serikali iwakamate wanaouza mihadarati
#SemaNaCitizen