Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profileg
Balyx

@Balyx_

On 18th of December 2022, I witnessed MESSI WINNING A WORLD CUP☝️ Messi, Martial, FDJ

ID:1229683405358608386

calendar_today18-02-2020 08:26:00

191,3K Tweets

140,6K Followers

5,9K Following

WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Jumaa Mubarak!

Kila muumini angependa kwenda kwenye Ibada ya Hajj na Umrah🕋! Msikilize Swahiba wetu Mubarak Mustapha, Mkurugenzi wa shule za Answaar akitupa akikuelezea urahisi wa safari hii.

Tembelea tawi la Benki ya CRDB au kwa Wakala ufungue akaunti ya Al Barakah!…

account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Naomba Repost..🔁🙏

T-shirts Ukali..🔥
Size: M-2XL
Price: 25,000/=
Delivery Yes I Do..🛵
DM 📩Mondinho7 Or Call ☎️0626560477.

Naomba Repost..🔁🙏 T-shirts Ukali..🔥 Size: M-2XL Price: 25,000/= Delivery Yes I Do..🛵 DM 📩@Mondinho71 Or Call ☎️0626560477.
account_circle
John kalage 🇹🇿(@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Kuna jamaa yangu anatafuta pikipiki kama hii Used(Sinoray) anunue yupo Golani. Kama Kuna mtu anayo naomba tuwasiliane.

☎️ 0678213259

Kuna jamaa yangu anatafuta pikipiki kama hii Used(Sinoray) anunue yupo Golani. Kama Kuna mtu anayo naomba tuwasiliane. ☎️ 0678213259
account_circle
Rastafarian culture(@Ireneigora) 's Twitter Profile Photo

*TOYOTA IST (DWH)*

Clean Seats 💺
2004 model
1290 cc
Verry SMART ✅
Petrol Fuel ⛽️
Full Ac
Full Documents
Gari Mpyaa 100%

Bei 12.8 mil

Kama Unauza Gari Lako Nitumie

0626010537 njoo WhatsApp Delivery ipo mkoani unaletewa pia location ni Dar

*TOYOTA IST (DWH)* Clean Seats 💺 2004 model 1290 cc Verry SMART ✅ Petrol Fuel ⛽️ Full Ac Full Documents Gari Mpyaa 100% Bei 12.8 mil Kama Unauza Gari Lako Nitumie 0626010537 njoo WhatsApp Delivery ipo mkoani unaletewa pia location ni Dar
account_circle
Balyx(@Balyx_) 's Twitter Profile Photo

Kilimo ndo tegemeo kwa kizazi cha sasa

Vijana wapewe mashamba
Mbolea zifike kwa wakati
Penbejeo wa wakati

UHAKIKA WA SOKO NI MUHIMU

account_circle
Paschal sam(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

Azma ya Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni nzuri. Ombi langu,bajeti hiyo ikiidhinishwa, usimamizi mzuri uwepo, maana tumeshuhudia ubadhilifu mkubwa katika miradi mbali ambayo inasababisha miradi hiyo kusimama au kufa kabisa.

account_circle
Dira Ya Samia(@DiraYaSamia) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Kilimo inaomba kuidhinishwa kwa bajeti ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kiasi cha Shilingi 1,248,961,680,0001/= itakayoenda kutekeleza miradi mbali mbali ikiwemo miradi ya umwagiliaji na mbolea za ruzuku hususan kwa wakulima wa zao la Parachichi.

Wizara ya Kilimo inaomba kuidhinishwa kwa bajeti ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kiasi cha Shilingi 1,248,961,680,0001/= itakayoenda kutekeleza miradi mbali mbali ikiwemo miradi ya umwagiliaji na mbolea za ruzuku hususan kwa wakulima wa zao la Parachichi. #dirayasamia
account_circle
Dira Ya Samia(@DiraYaSamia) 's Twitter Profile Photo

Kuongeza Tija katika Kilimo, Kutimiza Azma ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Kulilisha Taifa na kulisha Dunia kibiashara kupitia

Kuongeza Tija katika Kilimo, Kutimiza Azma ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya Kulilisha Taifa na kulisha Dunia kibiashara kupitia #ajenda1030 #DiraYaSamia
account_circle