kipepeo🦋(@CelineWilliam24) 's Twitter Profileg
kipepeo🦋

@CelineWilliam24

Lab scientist/💚💛/Man u/ mama's gal😍

ID:1512792339881811972

calendar_today09-04-2022 13:59:55

6,1K Tweets

1,2K Followers

930 Following

Laizer mobile store(@laizerphones) 's Twitter Profile Photo

Karibu ujiunge nasi kwenye team ya ushindi . pixel 3 mpk 8pro shop with us 😊
Tupigie 0653- 135872
📍Kariakoo||delivery ✅

Karibu ujiunge nasi kwenye team ya ushindi #TemPixel. pixel 3 mpk 8pro shop with us 😊 Tupigie 0653- 135872 📍Kariakoo||delivery ✅
account_circle
Goodluck(@StoryTeller1236) 's Twitter Profile Photo

WAEFESO 3: 20 👏😢❤️
Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu

WAEFESO 3: 20 👏😢❤️ Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu
account_circle
Dr Mmbaga(@ZakayoMmbaga) 's Twitter Profile Photo

IJUE RHESUS FACTOR NA UJAUZITO.
Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa).
Moja ya vipimo vinavyosisitizwa ni cha makundi ya damu na Rhesus.

IJUE RHESUS FACTOR NA UJAUZITO. #UZI Bila shaka umewahi kuwasikia wataalamu wa afya wakisisitiza umuhimu wa wenza kufanya vipimo mbalimbali kabla ya kuamua kuwa pamoja kwa ajili ya kutengeneza familia (kuzaa). Moja ya vipimo vinavyosisitizwa ni cha makundi ya damu na Rhesus.
account_circle