CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profileg
CHADEMA Tanzania

@ChademaTz

The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼

ID:3309230189

linkhttps://whatsapp.com/channel/0029VaCuWWsEgGfGYYqUaS3X calendar_today05-06-2015 12:52:05

22,5K Tweets

758,8K Followers

11 Following

Follow People
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Bara Tundu Antiphas Lissu
akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika viwanja vya Mtekelezo

youtube.com/live/KkqCxMcYk…

account_circle
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Maandamano ya amani yakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara Tundu Antiphas Lissu wakipita nje ya viwanja vya Bunge la Tanzania huku wakiimba nyimbo ya kudai Katiba mpya na kuishindikiza Serikali iwaondoe wabunge 19 wasio na Chama siasa.

Maandamano ya amani yakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara @TunduALissu wakipita nje ya viwanja vya @bunge_tz huku wakiimba nyimbo ya kudai Katiba mpya na kuishindikiza Serikali iwaondoe wabunge 19 wasio na Chama siasa.
account_circle
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

'Suala la kuiondoa CCM madarakani ni suala la dharura. Tukiwapa hata miaka 100 hakuna kitakachobadilika.' Mhe. Ezekia Wenje

account_circle