Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profileg
Tanzania Editors Forum (TEF)

@EditorsForums

We defend freedom of expression and promote editorial excellence as keystone to realization of mature democracy in Tanzania.

ID:1106545504333283328

linkhttp://tanzaniaeditorsforum.com calendar_today15-03-2019 13:19:41

3,0K Tweet

3,4K Takipçi

691 Takip Edilen

Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

Jukwaa la Wahariri Tanzania limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha ghafla cha mwandishi Zephania Ubwani kilichotokea tarehe 6 Aprili 2024.

account_circle
Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

Vyombo vya habari imara husaidia kulinda maslahi mapana ya nchi. Sheria ya Uhuru wa Habari ilindwe kisheria na isiwe utashi wa kiongozi - Makamu Wenyeviti wa TEF, Bakari Machumu akizungumza kwenye Kongamano la Tathmini ya Miaka Mitatu ya Uongozi wa Rais Samaia Suluhu Hassan, DSM.

The Government Spokesperson Mobhare Matinyi explains various social-economic achievements attained in three years since Dr. Samia Suluhu Hassan came into power in a meeting with editors and journalists from different local and foreign media organisations

Picha ya pamoja kati ya wahariri na wachokoza mada katika Kongamano la Miaka Mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan (4R za Rais Samia), lililoandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) katika Ukumbi wa Maktaba, UDSM jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi 2024.

Churchill Otieno(@otienoc) 's Twitter Profile Photo

Gone too soon! So sudden, so shocking. Go thee well Rita, a steadfast journalist and a comrade who touched many colleagues with her skill and unassuming nature. Your legacy lives on🙏🏾

account_circle
Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

Numerous sources of income in the media will help to improve journalists’ welfare, economy and the operations of their respective media outlets - Deodatus Balile, TEF Chairman.

CPJ Africa(@CPJAfrica) 's Twitter Profile Photo

/ : CPJ is gravely alarmed by a public prosecutor's request today for journalist Stanis Bujakera to be convicted and sentenced to 20 years in prison and fined one million Congolese francs ($361).

@StanysBujaker's prosecution has been outrageous from the start, and

#DRC/#RDC: CPJ is gravely alarmed by a public prosecutor's request today for journalist Stanis Bujakera to be convicted and sentenced to 20 years in prison and fined one million Congolese francs ($361). @StanysBujaker's prosecution has been outrageous from the start, and
account_circle
Eastern Africa Editors Society(@EA_Editors) 's Twitter Profile Photo

The Gambia Press Union Gambia Press Union (GPU) led by President Muhammed S. Bah paid a visit to the EAES headquarters in Nairobi, where they held extensive discussions with the Executive Director Mr Churchill Otieno on emerging media trends in Africa.

The Gambia Press Union @gmpressunion led by President Muhammed S. Bah paid a visit to the EAES headquarters in Nairobi, where they held extensive discussions with the Executive Director Mr @otienoc on emerging media trends in Africa.
account_circle
Eastern Africa Editors Society(@EA_Editors) 's Twitter Profile Photo

UPDATE: French journalist Antoine Galindo detained in Ethiopia has been released after a week. Let's celebrate press freedom and continue to advocate for the safety of journalists worldwide. 📰✊

UPDATE: French journalist Antoine Galindo detained in Ethiopia has been released after a week. Let's celebrate press freedom and continue to advocate for the safety of journalists worldwide. #PressFreedom #JournalismMatters 📰✊
account_circle
Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

The freedom of the human mind is recognized in the right to free speech and free press - Calvin Coolidge.

Calvin was an American attorney and politician who served as the 30th president of the United States from 1923 to 1929.

The freedom of the human mind is recognized in the right to free speech and free press - Calvin Coolidge. Calvin was an American attorney and politician who served as the 30th president of the United States from 1923 to 1929.
account_circle
Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

BURIANI RAIS ALI HASSAN MWINYI

Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais (mstaafu) wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Febr 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alikokuwa akitibuwa

instagram.com/p/C3-TuSyoZju/…

BURIANI RAIS ALI HASSAN MWINYI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Rais (mstaafu) wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Febr 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alikokuwa akitibuwa instagram.com/p/C3-TuSyoZju/…
account_circle
Tanzania Editors Forum (TEF)(@EditorsForums) 's Twitter Profile Photo

Picha ya pamoja kati ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) na wanachama wapya wa jukwaa hilo leo tarehe 29 Febr 2024, jijini Dar es Salaam.

Veteran journalist Said Nguba, speaks on his experience on media industry in Tanzania during the Tanzania Editors Forum extraordinary meeting 2024 which went hand in hand with introduction of 28 new members in Dar es Salaam, 29th February 2024

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji (TEF), Simon Mkina (kulia) akifafanua jambo kwenye kikao cha jukwaa hilo na wanachama wake leo tar 29 Febr 2024, jijini Dar es Salaam huku wanachama wakimsikiliza.

Dk. Crispin Ryakitimbo, Ofisa Mipango Mkuu, Tume ya Mipango akiwasilisha wasilisho kwa wahariri kuhusu mafanikio na changamoto za Mipango ya Maendeleo 2025 na mwelekeo wa 2050. Wahariri wameuliza maswali na kutoa mapendekezo kuelekea Dira 2050.