Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profileg
Gomeez

@Gomeezmarketer

|Entrepreneur | Investor & Business woman | CPA affiliate💵|Hustler 🍁 | Activist 🇹🇿 | Simba sc| Madrid fan| cool & fine girl❤️🥰💋 |

ID:1689531817269870592

calendar_today10-08-2023 06:59:33

2,7K Tweets

1,2K Followers

2,3K Following

Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Let's see how cleverly you are : answer the challenge in 5 seconds.

Is this beautiful lady a really human o Ai?? 🧠

Let's see how cleverly you are : answer the challenge in 5 seconds. Is this beautiful lady a really human o Ai?? 🧠
account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Naipenda Sana Nchi yetu, lakini naidharau serikali yetu (fucking despise our government).

Lazima tubadilishe serikali hii ✊.

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16.

Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida

Nimepokea taarifa mbaya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia inayohusu kiongozi mkubwa wa Halmashauri hiyo kumbaka mfanyakazi wake wa ndani (house girl) ambaye ana umri wa miaka 16. Vyombo vya dola wilaya ya Mafia vyote vinafahamu lakini kwa masikitiko makubwa wameamua kumsaida
account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Alafu ni mwanamke! Hawa mama zetu mbona wamekuwa wakatili kiasi hichi? Hawana huruma na watoto wao😭
IPUparliament how did you manage to vote a murderer? Yes, Tulia is Murderer to people who acts free speech in Tz.
Are u really lead by a murderer? Go in Tz and see the reality😭

account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale hatukubahatika kumjua vyema huyu kaka.Sasa tumemfuatilia na kutambua kwamba huyu kaka alikuwa anafanya kazi kubwa ya kuwasaidia wananchi wa na kwa kumulika matatizo yao mbalimbali serkalin kuliko ata mbunge MLUGO na TULIA AKSON.

Wamuachie huyu kaka.

account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Ni mara pili Sasa mbunge wa bunge la 🇬🇪 anavamiwa kwa nzito baada ya kuongea ujinga ndani ya .

huyu mwananchi kakosea au yupo sahihi?

account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Mtoto huyu angekuwa nchi nyingine tofauti na huenda hivi sasa angekuwa ni milionea kupitia yake.

Repost dunia imjue na kuonesha upendo kwa mtoto huyu.

Mtoto huyu angekuwa nchi nyingine tofauti na #Afrika huenda hivi sasa angekuwa ni milionea kupitia #sanaa yake. Repost dunia imjue na kuonesha upendo kwa mtoto huyu.
account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Watanzania tuamkeni wote, tuamke sasa. Hatuwezi kushindwa kudai katiba mpya sabu ndo maisha yetu.tusikubali kuingia kweny uchaguz bila katiba mpya.
Ikibidi protests ijayo tusiondoke barabarani mpaka azimio katiba isemwe na watawala.
tujoin kwa wingi kutoa kauli hizi.

account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Fumbo khan, habari za jioni?

vijana wenzetu wengi wameacha/kuhairisha masomo katka vyuo mbalimbali nchini Tz kwa kushindwa kumalizia /kulipa pesa ya ada.

Umesema kapiga kazi sana sawa, mimi nilitaka nikuulize umehitimu chuo mwaka gani? Then nilete hoja ya msingi.

account_circle
Gomeez(@Gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

Unaonaje ukubwa wake? Bomu la Irani lililodunguliwa.

How the size: an Iranian missile intercepted at the Dead Sea

Unaonaje ukubwa wake? Bomu la Irani lililodunguliwa. How the size: an Iranian missile intercepted at the Dead Sea
account_circle