Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profileg
Haki Ngowi

@Hakingowi

🌍 Official Twitter Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 🐦Tweets From Haki Ngowi are signed hn+

ID:47989062

calendar_today17-06-2009 15:06:49

164,7K Tweets

443,9K Followers

9,1K Following

Follow People
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), mgeni rasmi katika mbio za Bunge Marathon zilizofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2024 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

📸:Bunge

📍Dodoma ⁠ Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), mgeni rasmi katika mbio za Bunge Marathon zilizofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2024 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. 📸:Bunge
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

YOU AINT READY FOR THIS HEAT! 🔥

Tel a friend to tel a friend. The OldSkul Brunch Edition is here. Bringing back those unmatched vibes!

Save the date

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Dah !! Hebu Msikilize kwa makini huyu mtoto anakipaji cha hali ya juu,mwenye mawasiliano yake tafadhali ..

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Dar es Salaam

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Aprili 13, 2024 ameongoza mamia ya wananchi kwenye matembezi ya hisani yaliyokwenda sambamba na zoezi la upimaji Afya ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu (Presha), pamoja na Sukari ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Afya…

📍Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Aprili 13, 2024 ameongoza mamia ya wananchi kwenye matembezi ya hisani yaliyokwenda sambamba na zoezi la upimaji Afya ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu (Presha), pamoja na Sukari ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Afya…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍▪️Taarifa Kutoka IKULU

Rais Samia Suluhu Hassan Akemea Viongozi Wanaochonganisha Serikali na Jamii

📄:IKULU

📍▪️Taarifa Kutoka IKULU Rais Samia Suluhu Hassan Akemea Viongozi Wanaochonganisha Serikali na Jamii 📄:IKULU
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Simanjiro,Manyara

▪️'TANROADS YAENDELEA NA KAZI YA MATENGENEZO YA DARAJA LA LOSINYAI LILOHARIBIWA NA MVUA MKOANI MANYARA'

Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Manyara imeendelea kufanya matengenezo ya miundombinu ya daraja la Losinyai lililopo…

📍Simanjiro,Manyara ▪️'TANROADS YAENDELEA NA KAZI YA MATENGENEZO YA DARAJA LA LOSINYAI LILOHARIBIWA NA MVUA MKOANI MANYARA' Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Manyara imeendelea kufanya matengenezo ya miundombinu ya daraja la Losinyai lililopo…
account_circle