Mfanyakazi Online Media(@MfanyakaziNews) 's Twitter Profile Photo

MAMBO MANNE USIYOYAJUA KUHUSU TAJIRI YUSUF BAKHRESA

1. NI mmoja wa watoto wa bilionea Said Bakhresa

2. Yeye ndiyo mmiliki wa timu ya Azam FC

3. Ni mmoja wa wakurugenzi wa Azam Media Limited

4. Leo Mei 7, 2024 ni kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mmoja wa Wakurugenzi Watendaji wa Azam Media Limited, @yusufbakhresa, ambaye pia ni Mmiliki wa Azam FC, ungana nasi kumtakia maisha marefu na yenye furaha zaidi.

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mmoja wa Wakurugenzi Watendaji wa Azam Media Limited, @yusufbakhresa, ambaye pia ni Mmiliki wa @azamfc, ungana nasi kumtakia maisha marefu na yenye furaha zaidi. 

#HappyBirthday #YusufBakhresa
account_circle
Bakhresa Group(@ofclbakhresagrp) 's Twitter Profile Photo

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mmoja wa Wakurugenzi Watendaji wa Azam Media Limited, @yusufbakhresa, ambaye pia ni Mmiliki wa @azamfcofficial, ungana nasi kumtakia maisha marefu na yenye furaha zaidi.

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa mmoja wa Wakurugenzi Watendaji wa Azam Media Limited, @yusufbakhresa, ambaye pia ni Mmiliki wa @azamfcofficial, ungana nasi kumtakia maisha marefu na yenye furaha zaidi.

#HappyBirthday #YusufBakhresa
account_circle
21 😎(@AnkaliDrew) 's Twitter Profile Photo

Olympic Pool Tabata Segerea Tarehe 4/5/2024 JUMAMOSI HII
Karibu tunakualika kuja kuogelea kwa kiingilio cha sh. 10,000/= tu ni swimming pool kubwa na ya kisasa ndani ya Dar Es Salaam na Suprise za kutosha zitakazotunza kumbukizi zako kabla ya Tarehe ya uzinduzi rasmi.

TBCOnline(@TBConlineTZ) 's Twitter Profile Photo

Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Batuli Abdallah, Mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Tunamtakia maisha marefu.

Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Batuli Abdallah, Mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Tunamtakia maisha marefu.
account_circle
Ngw'anamalundi(@hassan_ganai) 's Twitter Profile Photo

Asanteni sana ndugu zangu kwa upendo wenu wa kunitakia kheli ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu nawashukuru sana🙏.

Asanteni sana ndugu zangu kwa upendo wenu wa kunitakia kheli ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu nawashukuru sana🙏.
account_circle
The Fact(@Fact_kabisa) 's Twitter Profile Photo

Holocaust, Mauaji ya waisraeli yana kubukwa na waliokufa ni Milioni sita , Mauaji ya Congo
ya watu Milioni 10 hayana kumbukizi yoyote.

account_circle
Grounders_Grounders(@Grounders_) 's Twitter Profile Photo

Wanaharakati wa GROUNDERS tunapenda kumtakia Program Manager wetu ndugu, Joel Msuya heri ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake. Mungu azidi kumlinda na kumuongoza katika yote anayoyafanya.

Wanaharakati wa GROUNDERS tunapenda kumtakia Program Manager wetu ndugu, @JoelHamisMsuya heri ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake. Mungu azidi kumlinda na kumuongoza katika yote anayoyafanya.
#HappyBirthdayJoelMsuya
account_circle