Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profileg
Hilda Newton

@HildaNewton21

●MWANDISHI WA HABARI,
●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE,
●RAIS WA TANZANIA 2045.

ID:2673303382

calendar_today04-07-2014 21:16:48

272,8K Tweets

850,1K Followers

1,4K Following

Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨 🚨 Nyamongo, Tarime
10 April 2024
Firebrand politician John Heche told how Sylvester Nyangige was shot down for so called trespassing on the property of North Mara Mining
Police had denied Sylvester was shot there however we will provide…

account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni Pascal Malembera,
amepigwa risasi leo eneo la Murwambe Nyamongo.

Mauji na majeruhi kwa vijana Tarime hasa eneo la Nyamongo yanatisha.

Kwanini polisi wetu watumike kuua na kujeruhi vijana wetu kila siku.

Huyu ni Pascal Malembera, amepigwa risasi leo eneo la Murwambe Nyamongo. Mauji na majeruhi kwa vijana Tarime hasa eneo la Nyamongo yanatisha. Kwanini polisi wetu watumike kuua na kujeruhi vijana wetu kila siku.
account_circle
SUKUNUNU 🇹🇿(@sukununu01) 's Twitter Profile Photo

Chama chochote duniani kinaitaji watu kunamda nahis kabisa nchi hiiiiiiii wananchi wote ni ✌️🇹🇿 Chadema Moyo Wangu ndani yake kipo chama Cha Chadema ❤️

Chama chochote duniani kinaitaji watu kunamda nahis kabisa nchi hiiiiiiii wananchi wote ni ✌️🇹🇿 Chadema Moyo Wangu ndani yake kipo chama Cha Chadema ❤️
account_circle
M A G I R I(@Kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

Maandamano na mikutano yao haina mvuto, hawataamini 2025 - Mchambuzi wa masuala ya siasa na mambo mtambuka.

Maandamano na mikutano yao haina mvuto, hawataamini 2025 - Mchambuzi wa masuala ya siasa na mambo mtambuka.
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kuna mahali polisi wetu wanakwaza na kushangaza sana.

Mimi nikimuita mtu mjinga wewe. Wakinikamata eti wanaenda kunipekuwa nyumbani!.

Sasa unashangaa mdomo uliotumika kumuita mtu mjinga ninao hapohapo polisi, sasa nyumbani wanaenda kupekua nini?.

Kuna mahali polisi wetu wanakwaza na kushangaza sana. Mimi nikimuita mtu mjinga wewe. Wakinikamata eti wanaenda kunipekuwa nyumbani!. Sasa unashangaa mdomo uliotumika kumuita mtu mjinga ninao hapohapo polisi, sasa nyumbani wanaenda kupekua nini?.
account_circle
Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Tundu Antiphas Lissu anasema wafanyakazi waache kuomba/kutaka awasemee kuhusu kikokotoo wakati wafanyakazi wana vyama vya wafanyakazi maana kuomba wasemewe ni kutotambua wajibu wao.

Mhe. @TunduALissu anasema wafanyakazi waache kuomba/kutaka awasemee kuhusu kikokotoo wakati wafanyakazi wana vyama vya wafanyakazi maana kuomba wasemewe ni kutotambua wajibu wao.
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

Chama kikuu cha upinzani , CHADEMA, Yajitayarisha kwa maandamano siku ya nne huko Babati Manyara.

TAZAMA: youtube.com/watch?v=kLeRR2…

account_circle
ArikoMaaarge😒(@Marge_DTM) 's Twitter Profile Photo

Mvua zaleta mambo!
Wakazi wa Kigamboni wamecharuka na kuziba barabara wakidai lipatikane suluhisho la mafuriko

account_circle
ArikoMaaarge😒(@Marge_DTM) 's Twitter Profile Photo

Kigamboni ni ma last born au? Yaani wamefunga barabara kidogo mara ma Equipment yashafika kuchimbua mitaro😏😅
Wakazi wa Kitunda, Kivule, Madale, Kinzudi, and the likes... please take note

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

“Wafanyakazi acheni kuwa ombaomba!” 😃😃
Tundu Antiphas Lissu anasema kutaka awasemee kikokotoo wafanyakazi wakati wana vyama vya wafanyakazi ni kutotambua wajibu wao

youtube.com/live/kLeRR2NGD…

“Wafanyakazi acheni kuwa ombaomba!” 😃😃 @TunduALissu anasema kutaka awasemee kikokotoo wafanyakazi wakati wana vyama vya wafanyakazi ni kutotambua wajibu wao youtube.com/live/kLeRR2NGD…
account_circle
Tanzania Leaks(@TanzaniaLeaks) 's Twitter Profile Photo

Mna mtafuta Luhaga Mpina? Acheni kutuchezea. Acheni, msithubutu. Kama mnataka vita vianze, na chama kipasuke katikati, basi endeleeni. Tumekuwa tukimsitiri Rais na kuwa Upande wake. Shemsha nyamaza kabisa. Tutakuanika hadi utajitundika kamba na uchafu wako, unapata wapi jeuri?

account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) Bara Mhe. Tundu Lissu akiongoza Maandamano ya Amani yanayofanyika katika Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara yaliyopo jimbo la Babati Mjini leo ijumaa Aprili 26, 2024.


TAZAMA: youtube.com/watch?v=kLeRR2…

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Wenye mamlaka nchini wanaweza kutumia nafasi zao kufanya utekaji na si kwa sababu za kisiasa tuu hata kwa sababu binafsi. Bila ya hakuna aliye salama. — Mohamed Kabiliga VIDEO : bit.ly/3QcVqys

Wenye mamlaka nchini wanaweza kutumia nafasi zao kufanya utekaji na si kwa sababu za kisiasa tuu hata kwa sababu binafsi. Bila ya #KatibaMpya hakuna aliye salama. — @mohamedmswadiku #WenyeNchiWananchi VIDEO : bit.ly/3QcVqys
account_circle