John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profileg
John Heche

@HecheJohn

Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.

ID:558686364

linkhttps://en.wikipedia.org/wiki/John_Heche calendar_today20-04-2012 12:45:14

78,4K Tweets

735,5K Followers

1,4K Following

Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️Aliyoyasema 2017 Tundu Antiphas Lissu alipokuwa Rais wa Tanganyika Law Society(TLS) kuhusu utawala wa sheria na alieleza hata Rais hayuko juu ya Katiba /sheria! Alisema dawa ni kumpeleka mahakamani 👏🏽
Baada ya miezi kadhaa walimmiminia risasi zaidi ya 30

Tundu Lissu has always been courageous…

account_circle
(---) Onesmo Mushi(@EduTalkTz) 's Twitter Profile Photo

Reactive as always, mpaka umma ulalamikie uzembe kwenye usimamizi wa mali zake ndio zinatoka kauli za kuunyamazisha.

Kwani watawala huwa hawaelewi kwamba wanawajibika kutoa taarifa kwa umma kuhusu mwenendo wa mali zake?

Reactive as always, mpaka umma ulalamikie uzembe kwenye usimamizi wa mali zake ndio zinatoka kauli za kuunyamazisha. Kwani watawala huwa hawaelewi kwamba wanawajibika kutoa taarifa kwa umma kuhusu mwenendo wa mali zake?
account_circle
Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

Mchana huu Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kikiwa kimerejea baada ya mapumziko ya chakula cha mchana. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe .

Mchana huu Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kikiwa kimerejea baada ya mapumziko ya chakula cha mchana. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz .
account_circle
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Mchana huu Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kikiwa kimerejea baada ya mapumziko ya chakula cha mchana. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe .

Mchana huu Kikao cha Kamati Kuu ya Chama kikiwa kimerejea baada ya mapumziko ya chakula cha mchana. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz .
account_circle
Mwananchi Newspapers(@MwananchiNews) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiomba dua kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo Mei 11, 2024. 📸 Michael Matemanga.


Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiomba dua kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu kwenye ofisi za makao makuu ya chama hicho zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, leo Mei 11, 2024. 📸 Michael Matemanga. #mwananchiupdates #tunaliwezeshataifa
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Jambo hili halikubaliki RPC Tarime /Rorya timiza wajibu wako.

Hii inaonesha wazi kwamba jeshi letu la polisi limehusika katika tukio la mauaji na wanataka kuficha ukweli.

account_circle
Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni mbele kidogo ya kitasengwa njia kuu ya kuelekea mgogolo -mafinga, Magari yamekwama takribani wiki, Barabara ni mbaya kuwahi kutokea. Mbunge wake ni David Mwakiposa Kihenzile ambaye pia ni naibu waziri wa uchukuzi. Tukisema ccm kitu pekee wanaweza ni wizi wa kura na mali za umma

account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: Tundu Antiphas Lissu akinukisha jimboni kwa Waziri George Simbachawene, aivaa vikali Serikali ya Chama Cha Mapinduzi Kibakwe Wilaya ya , aitaka ili kubadirisha mifumo ya uendeshaji wa Serikali na utoaji haki kwa Wananchi.

Zaidi: youtu.be/h3yAIx5G_RI

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

📍VIDEO:

'Hapa Kibakwe mna Mbunge ambaye ni Waziri tena wa Usalama wa Taifa lakini hela za miradi ya maji zimepigwa' Tundu Antiphas Lissu Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara

account_circle
Hilmi Hilal(@HilmiHilal88) 's Twitter Profile Photo

“Makubaliano ya muungano hayakuua Tanganyika hayakuua Zanzibar”

- Tundu Lissu.

Hii elimu ni muhimu sana ili watu watoke kwenye ujinga wa zaidi ya nusu karne.

account_circle
Askofu Emmaus B Mwamakula(@EmmausAskofu) 's Twitter Profile Photo

Mchana tulihoji kibali serikali kutoa kibali kuchukua Takwimu za walimu na wanafunzi wa Kiislamu Mkoani Kagera. Jioni hii Serikali imesitisha kibali hicho.

Mchana tulihoji kibali serikali kutoa kibali kuchukua Takwimu za walimu na wanafunzi wa Kiislamu Mkoani Kagera. Jioni hii Serikali imesitisha kibali hicho.
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ ‼️
The govt of Samia Suluhu wanted a census of Muslim students and teachers in schools in Karagwe district 🙄
They want to divide us religiously?
After public outrage they withdrew the survey! But unnecessarily inflammatory!

How it started.. How it’s going..

‼️#Tanzania ‼️ The govt of @SuluhuSamia wanted a census of Muslim students and teachers in schools in Karagwe district 🙄 They want to divide us religiously? After public outrage they withdrew the survey! But unnecessarily inflammatory! How it started.. How it’s going..
account_circle
Masonga, Emmanuel(@EmmanuelMasonga) 's Twitter Profile Photo

Sensa ya Dini? Tunaulizana Dini? Huyu Mkurugenzi Anataka Kugawa watu. Akemewe. Serikali haitakiwi Kujiingiza kujua Dini za watu au kufuatilia Dini za watu.

Sensa ya Dini? Tunaulizana Dini? Huyu Mkurugenzi Anataka Kugawa watu. Akemewe. Serikali haitakiwi Kujiingiza kujua Dini za watu au kufuatilia Dini za watu.
account_circle
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti Bara Tundu Antiphas Lissu akipokea zawadi ya Mbuzi kutoka kwa wananchi wa Kata ya Chitemo Jimbo la Mpwapwa alipofika kufanya mkutano wa hadhara asubuhi ya leo Mei 9, 2024 na jioni anatarajia kufanya mkutano Jimbo la Kibakwe.

Makamu Mwenyekiti Bara @TunduALissu akipokea zawadi ya Mbuzi kutoka kwa wananchi wa Kata ya Chitemo Jimbo la Mpwapwa alipofika kufanya mkutano wa hadhara asubuhi ya leo Mei 9, 2024 na jioni anatarajia kufanya mkutano Jimbo la Kibakwe.
account_circle