Kassim Majaliwa Majaliwa(@KassimMajaliwa_) 's Twitter Profileg
Kassim Majaliwa Majaliwa

@KassimMajaliwa_

Official account of the Prime Minister of the United Republic of Tanzania. Member of Parliament Ruangwa Constituency-Lindi

ID:1384738786840547328

linkhttp://pmo.go.tz calendar_today21-04-2021 05:20:49

72 Tweets

86,7K Followers

3 Following

Kassim Majaliwa Majaliwa(@KassimMajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwatakia Waislam na Watanzania wote Sikukuu njema ya EID.

Katika kipindi hiki cha Sikukuu ninawaomba Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu ili lizidi kustawi kwa baraka na mafanikio.

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kuwatakia Waislam na Watanzania wote Sikukuu njema ya EID. Katika kipindi hiki cha Sikukuu ninawaomba Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu ili lizidi kustawi kwa baraka na mafanikio.
account_circle
Kassim Majaliwa Majaliwa(@KassimMajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu kuwatakia kheri ya Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Niwaombe Watanzania wote tuendelee kuliombea Taifa letu ili tuwe na muelekeo chanya wenye umoja, mshikamano, ustahamilivu na maendeleo ya pamoja.

Ninaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. @SuluhuSamia kuwatakia kheri ya Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Niwaombe Watanzania wote tuendelee kuliombea Taifa letu ili tuwe na muelekeo chanya wenye umoja, mshikamano, ustahamilivu na maendeleo ya pamoja.
account_circle