Samia Suluhu
@SuluhuSamia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
ID:2652554565
29-06-2014 07:42:17
1,2K Tweets
1,5M Followers
27 Following
Kila la kheri watani wa jadi Simba na Yanga katika mchezo wenu wa 112 kwenye historia yenu ya zaidi ya miaka 59 ya burudani kwetu sote katika Ligi Kuu Tanzania Bara. #KariakooDerby
Nimewasili nchini Uturuki kwa ziara rasmi kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan. Mwaka huu nchi zetu mbili zinatimiza miaka 45 tangu kuanza kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia. Uturuki ni mshirika wetu mkubwa kiuchumi na ni soko la kimataifa kwa bidhaa zetu linalokua kwa