TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Watu 45 wamedhibitishwa kufa maji usiku wa kuamkia leo baada ya eneo mithili ya bwawa mkabala na reli ya nairobi naivasha kupasuka eneo la maaimahiu kaunti ya nakuru huku makumi ya wengine wakijeruhiwa na mafuriko hayo.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa usalama wa ndani Kithure Kindiki ameagiza ukaguzi wa mara moja wa mabwawa yote ya umma na ya kibinafsi chini ya masaa 24.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wanapotarajiwa kurejea shuleni siku ya kesho wazazi wameibua hofu kuhusu usalama wa wanao msimu huu mvua ya inayoendelea kuharibu mali na kuadhiri shughuli mbalimbali.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya walimu wa shule ya sekondari msingi katika kaunti kadhaa hii leo wamefanya maandamano kushinikiza serikali kuheshimu uamuzi wa mahakama kwa kuhusu masharti yao ya ajira.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Idadi ya maafa kufuatia janga la mafuriko eneo la Maai Mahiu inasalia kuwa kama hadithi ya riwaya kwa wale walionusirika tukio hilo la usiku wa manane baada ya mafuriko ya kutamausha.


Andrine Kilemi Moige William

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa bara la afrika wanayataka mataifa yaliyostawi kufadhili riba ya chini ya mikopo inayotolewa na benki ya dunia kwa mataifa yanayostawi ili kuyawezesha kufanikisha miradi ya maendeleo na kukabili mabadiliko ya tabianchi.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Polisi wa trafiki mjini Naivasha alipokea kichapo cha mbwa kutoka kwa umma baada yake kumgonga mwananchi kwa pingu kwenye eneo la ajali baada ya majibizano kwa kulaumiwa kwa utepetevu wa kuchukua mwili wa marehemu.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi - EACC imekiri kuwa inakabiliwa na idadi kubwa ya kesi za ufisadi ambazo inachunguza, na kwa sasa kuna kesi 1,200.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini, miundombinu inaendelea kuharibiwa huku maafa yakizidi kuongezeka.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa kilimo Mithika Linturi amepuzilia mbali mchakato wa kumbandua afisini ambao unaendelezwa na mbunge wa bumula wanami wamboka na baadhi ya wabunge.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

NAIROBI’S FLOOD WATCH

Section of Nairobi residents displaced following heavy downpour

Those in informal settlements face health risks

Motorists face difficulties on the Nairobi roads
Victor Muyakane
Linda Alela
Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Siasa za sakata ya mbolea bandia zinaendelea kuchacha, mirengo yote miwili ya kisiasa ikitofautiana kuhusu iwapo waziri wa kilimo Mithika Linturi atabanduliwa au la.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

KERO YA MAFURIKO NAIROBI

Mvua ya masika yazidi kuwa kero Nairobi

Wakaazi wamesalia kuhama kufuatia mafuriko

Shughuli za uchukuzi pia zimetatizika jijini
lizah mutuku
Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Asad Anwar ndiye bingwa wa makala ya sita ya mashindano ya magari ya Rallycross yalilyoandaliwa katika uwanja wa Kasarani super spectator mjini Nairobi.


Andrine Kilemi

account_circle
TV47(@tv47news) 's Twitter Profile Photo

Kariobangi Sharks na AFC Leopards zimefuzu kwa nusu-fainali ya kombe la FKF kufuatia ushindi wao mtawalia wa 1kwa 0 na 3 kwa 1 katika mchuano wa robo fainali.


Andrine Kilemi

account_circle