Ackim(@Kimkayndo) 's Twitter Profileg
Ackim

@Kimkayndo

@wcbwasafi_ HEAD OF DIGITAL DEPARTMENT | DIGITAL MARKETING EXPERT & ANALYST | GRAPHICS DESIGNER

ID:193577004

linkhttp://www.instagram.com/kimkayndo calendar_today22-09-2010 04:45:14

21,7K Tweets

12,2K Followers

507 Following

Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฅToyota Fortuner Bonge la Machine.
.
Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiza gari bei mkasi sana [zamoto].
.
Halafu zinatumiwa sana na mabalozi na miradi ya maendeleo ambayo iko funded.
.
Kaa vizuri andaa kifungia kinywa/juice na kitumbua chako pembeni [kama unacho] twende pamoja๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅToyota Fortuner Bonge la Machine. . Hivi umewahi kujiuliza kwanini hiza gari bei mkasi sana [zamoto]. . Halafu zinatumiwa sana na mabalozi na miradi ya maendeleo ambayo iko funded. . Kaa vizuri andaa kifungia kinywa/juice na kitumbua chako pembeni [kama unacho] twende pamoja๐Ÿ‘‡
account_circle
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ(@KingPablotz) 's Twitter Profile Photo

Siku moja nilimcheki chibu SIMBA..!๐Ÿฆ nikamwambia

Hakikisha kwenye Goma moja wapo lazima unitaje.

Tumia 'PABLO ๐Ÿฆ'

Akasema haina Noma..

Na leo katimiza ahadi,

Chibu ni mtu wa maana

Chibu ni mtu na nusu.

Chibu ukifa hauozi

Kwe usiponisikia nafuta Account

Siku moja nilimcheki chibu @diamondplatnumz nikamwambia Hakikisha kwenye Goma moja wapo lazima unitaje. Tumia 'PABLO ๐Ÿฆ' Akasema haina Noma.. Na leo katimiza ahadi, Chibu ni mtu wa maana Chibu ni mtu na nusu. Chibu ukifa hauozi Kwe #KIBANGO usiponisikia nafuta Account
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Mwanzo wa safari yako usiufananishe na msimu wa mavuno wa wengine.
Yeyote mwenye kuwa bize kujifananisha na wengine, hakika amenyimwa utulivu.

@kimkayndo Charles William

Mwanzo wa safari yako usiufananishe na msimu wa mavuno wa wengine. Yeyote mwenye kuwa bize kujifananisha na wengine, hakika amenyimwa utulivu. @kimkayndo @2CharlesWilliam
account_circle
zodinius(@zodinius_) 's Twitter Profile Photo

Ackim Finally joined twitter today, and one of my friends sent me this link.
Ahsante sana Ackim

Nitashare kazi nyingi zaidi na zaidi hapa

account_circle
Africa Facts Zone(@AfricaFactsZone) 's Twitter Profile Photo

CKay's Love Nwantiti is the first African song to be certified 8x Platinum in USA with 8 million units in the country.

It is the first African song to go 2x Diamond with 2.4 million units in India.

It is certified Platinum in the UK (600,000), Germany (400,000), Italy

CKay's Love Nwantiti is the first African song to be certified 8x Platinum in USA with 8 million units in the country. It is the first African song to go 2x Diamond with 2.4 million units in India. It is certified Platinum in the UK (600,000), Germany (400,000), Italy
account_circle
Thomas J. Kibwana(@thomasjkibwana) 's Twitter Profile Photo

Barabara ya Shekilango inatokana na Hussein Ramadhani Shekilango aliekua mbunge wa Korogwe Mjini na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Utawala.

Kabla ya kuchaguliwa mbunge katika uchaguzi wa 1975 alikua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Usagishaji (National Milling Corporation).

Barabara ya Shekilango inatokana na Hussein Ramadhani Shekilango aliekua mbunge wa Korogwe Mjini na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Utawala. Kabla ya kuchaguliwa mbunge katika uchaguzi wa 1975 alikua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Usagishaji (National Milling Corporation).
account_circle
Zee La Nyeti(@OriginoZee17) 's Twitter Profile Photo

Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake.๐Ÿ‘‡

1-Ikifika Saa 3 Hakuna Daladala Utaona Barabarani ๐Ÿ˜

2-Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini Jiongeze ๐Ÿ˜ƒ

3-Ugali Wa 1500 Unapata Mboga 7 Usisahau Uono (Dagaa Mchele) Buree ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Endelea .......... ๐Ÿ‘‡

account_circle
๐—ฃ ๐—” ๐—• ๐—Ÿ ๐—ข ๐Ÿฆ(@KingPablotz) 's Twitter Profile Photo

Kumekuwa na changamoto kadhaa za watu kuibiwa akaunti zao ๐• (hacked).

Ni siku kadhaa SANUKAnaCHAPO alikuwa Hacked

Hizi ni baadhi ya njia za kuepuka na kujilinda akaunti yako kuwa hacked kama alivyoshauri cc Ackim

๐Ÿ”— Epuka kufungua links zisizotambulika

๐Ÿ’ป Hakikisha unaingia

Kumekuwa na changamoto kadhaa za watu kuibiwa akaunti zao ๐• (hacked). Ni siku kadhaa @chapo255 alikuwa Hacked Hizi ni baadhi ya njia za kuepuka na kujilinda akaunti yako kuwa hacked kama alivyoshauri cc @Kimkayndo ๐Ÿ”— Epuka kufungua links zisizotambulika ๐Ÿ’ป Hakikisha unaingia
account_circle