KULILO, Lobezi M.(@KuliloLM) 's Twitter Profileg
KULILO, Lobezi M.

@KuliloLM

KULILO-GENERAL SUPPLY AND STATIONERY

HARDWARE

HAKI~AMANI

ID:1126398195347619841

linkhttp://www.kulilo.com calendar_today09-05-2019 08:07:12

5,8K Tweets

558 Followers

1,1K Following

Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Samia akuelewa kwa nini Magufuli alizima mikutano ya vyama vya siasa, sababu ni hizi
-- CCM imeoza haiwezi jikinga na makombora
-- CCM ni chafu kuliko jalala
-- CCM hakuna watu wenye weledi kumudu kizazi cha sasa na siasa za sasa
-- CCM ni nzito, ni kama lori halina grisi kwenye…

Samia akuelewa kwa nini Magufuli alizima mikutano ya vyama vya siasa, sababu ni hizi -- CCM imeoza haiwezi jikinga na makombora -- CCM ni chafu kuliko jalala -- CCM hakuna watu wenye weledi kumudu kizazi cha sasa na siasa za sasa -- CCM ni nzito, ni kama lori halina grisi kwenye…
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.

Thank you very much @WorldBank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
account_circle
Twaha Mwaipaya(@Twaha_Mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

'Wiki iliyopita Bank ya Dunia imezuia msaada wa Billion 138 kuja Tanzania, kwasababu Serikali ya Samia inatesa raia wake hifadhini' Mh. Tundu Lissu

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥🔥
Tundu Antipas Lissu 😃✊🏽
Alimvaa Pinda, Chikawe, polisi na CCM mwaka 2015

Sasa ufashisti ndo huu - msikilizeni Lissu 👇🏾
Waziri Mkuu anasema “Piga Tu” hadi polisi walibadili plate number kutoka STK kuwa PT - Piga Tu
😂😂
Hakuna aliyepambana na mfumo dhalimu na wa kifashisti…

account_circle
Henry Kilewo(@HenryKilewo) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Mzanzibar ambaye sio Mtanzania ila kuna Mtanzania ambaye sio Mzanzibar. Ili uweze kumiliki ardhi Zanzibar lazima uwe Mzanzibar na Mtanzania ambaye sio Mzanzibar hawezi kumiliki ardhi Zanzibar.

account_circle
KULILO, Lobezi M.(@KuliloLM) 's Twitter Profile Photo

Elewa, unaweza ukafundishwa na kukarishwa upuuzi vilevile, tumia akili sio kukariri, hoja yako tu tayari ina maswali lukuki kuhusu huo Muungano.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa Tanga una wakazi 2,615,597 na kaya 635,514. Tanga kuna majimbo 12 ya uchaguzi. Zanzibar kuna wakazi 1,889,773 na kaya 380,260. Bunge la Tanzania, Zanzibar ina viti 60 (hii ni nje bunge lao) wakati Tanga ina viti 12. Uwakilishi wa kisanii. Muungano, wanufaika ni Zanzibar.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

💥💥 ka-boom ‼️
11 October 2021
“Hata mimi ujiniuliza nitakwambia mi mzanzibari - sina kabila”
- Samia Suluhu mwenyewe

Utambulisho wake kasema ni Mzanzibari 😃
Sasa leo iweje kumwita mzanzibari iwe ubaguzi?

Alafu kujiita mzanzibari kama si kabila ni nini? Utaifa? Uraia? Hadi…

account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Wizi unaofanyika kwenye vituo vya mafuta ni kufuru, pump nyingi zimechezewa vibaya sana

EWURA wamekaa ofisini kwa utulivu kabisa, ila Vituo vya mafuta vinatakiwa kuchekiwa na mamlaka kwa kushitukiza kumaliza hii tabia

Kwa wateja, Mara moja moja nunua mfuta kwenye dumu maalamu…

Wizi unaofanyika kwenye vituo vya mafuta ni kufuru, pump nyingi zimechezewa vibaya sana EWURA wamekaa ofisini kwa utulivu kabisa, ila Vituo vya mafuta vinatakiwa kuchekiwa na mamlaka kwa kushitukiza kumaliza hii tabia Kwa wateja, Mara moja moja nunua mfuta kwenye dumu maalamu…
account_circle