Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mwanaisha Chidzuga - Naibu Msemaji wa Serikali: Sisi kama serikali tukona mabaraza ya umma ya kuelimisha, kujenga ufahamu, kuwafahamisha watu kuhusu mafuriko lakini hatuwezi kufanya hili peke yetu
Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mustakabali wa afya:

Jaji Byram Ongaya awaongeza muda madaktari

Madaktari na serikali wameongezwa siku mbili

Pande hizo zilikosa kuafikia mkataba wa kurejea kazini

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Hasara ya mafuriko Merti:

Zaidi ya nyumba 1,200 zimesombwa na maji Isiolo

Shughuli za uchukuzi zimekwama barabara zikikatika

Wakazi wanahofia ukosefu wa chakula Merti

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Janga la mafuriko nchini:

Dkt. Dhadho Godana - Gavana, Tana River: Serikali za kaunti zinafanya vyema sana inapokuja suala la fedha za dharura Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Japheth Mang'oka - Waziri Wa Mipango Maalum, Makueni: Serikali kuu haihusishi serikali ya kaunti inapokuja suala la usaidizi. Huenda serikali kuu kuwapa wananchi chakula, au dawa lakini serikali ya kaunti haihusishwi Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Miili 2 zaidi Mai Mahiu:

Waliofariki kwenye mafuriko Mai Mahiu wafikia 60

Miili 2 zaidi imepatikana kwenye matope

Watu 23 kati ya 112 wangali hospitalini

Ibada ya wafu kufanyika siku ya Alhamisi

Mashirima Kapombe

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Ubomoaji Bungoma:

Kaunti ya Bungoma yabomoa jengo kando ya uga

Uga wa Masinde Muliro kupanuliwa eneo la Kanduyi

Gavana Wangamati alalamikia ubomoaji

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Peter Murgor - Meneja, Shirika La Msalaba Mwekundu: Pasipo kuwa na mikakati mwafaka wa kudhibiti maradhi, hali ya kujisaidia na kupata maji masafi, mkurupuko wa maradhi utakuja Rashid Abdalla

account_circle