Malembo Farm(@MalemboFarm) 's Twitter Profileg
Malembo Farm

@MalemboFarm

Prominent Agribusiness firm in East Africa, HQ in 🇹🇿🇰🇪 |Agribusiness consulting| Sustainable Agriculture| Community Development| Dedicated to #UNSDGs

ID:3368293168

linkhttp://www.malembofarm.com calendar_today09-07-2015 20:00:34

25,4K Tweets

19,5K Followers

955 Following

Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Bei za zao kakao kwenye soko la Dunia zimeanza kushuka. Hii inatokana na nchi nyingine zinazozalisha kokoa zimeanza kuingiza sokoni zao. Hata hivyo, bado bei zilizopatikana ni za wastani wa juu mfano leo tarehe 30.04.2024 Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya kilo moja imeuzwa kwa Tzs…

account_circle
Mifugo na Uvuvi(@UvuviNa) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameonesha kufurahishwa na vijana wanaofanya miradi ya ufugaji wa samaki katika vizimba jijini Mwanza baada kuwatembelea na kuona maendeleo mazuri yaliyofikiwa na vijana hao Aprili 30, 2024.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega ameonesha kufurahishwa na vijana wanaofanya miradi ya ufugaji wa samaki katika vizimba jijini Mwanza baada kuwatembelea na kuona maendeleo mazuri yaliyofikiwa na vijana hao Aprili 30, 2024.
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya siku ya rafanyakazi rafiki ndugu na jamaa isipokuwa Kipepe maana siyo mfanyakazi wala siyo mkulima kiufupi hana siku maalumu ya kupongezwa maana hakuna siku ya kitaifa ya kutembeza CVs. Malembo Farm Academy

account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Mdogo wetu napenda unachofanya kwenye sekta ya kilimo mimi ni mfuasi wako lakini jitaidi kujierisha zaidi.

Tunaposema watanzania waliojiari kwenye kilimo ni zaidi ya 65% ni pamoja na hao unaodhani siyo wakulima muhimu ujifunze hilo ndiyo maana kuna watalaamu,wauza…

account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Shemeji yangu salama?,nafikiri ungejipa muda baada ya “space” useme tulikuwa tunachambua au tunaielezea, Mimi binafsi nafurahi kwamba mnaleta changamoto kwenye huu mjadala kimsingi ndiyo maana ya mijadala.

account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Tunaongea Lugha moja… watu wengi hawana taarifa za masoko,masako ni taarifa masoko ni uwekezaji masoko ni diplomasia,masoko ni ushawishi.

Masako yapo ila wengi hatuna taarifa za masako mfano Soko kubwa la samaki aina ya Kambamiti lipo kwenye nchi za Thailand, Hong Kong na…

account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Kwa bahati mbaya sana huwa tunazungumza na wafanyakazi wa Tanzania wanaotarajiwa kustaafu wakati wa mwishoni kwao kuhusu mambo ya maana sana kuwahusu wao kama hili la Kilimo biashara. Natamani pengine iwepo sera na taratibu za kuzungumza na wafanyakazi wapya mahali…

#KilimoTips Kwa bahati mbaya sana huwa tunazungumza na wafanyakazi wa Tanzania wanaotarajiwa kustaafu wakati wa mwishoni kwao kuhusu mambo ya maana sana kuwahusu wao kama hili la Kilimo biashara. Natamani pengine iwepo sera na taratibu za kuzungumza na wafanyakazi wapya mahali…
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mzee mmoja alikuja kupika Maji kwenye shamba langu la Horohoro-Tanga akawa anatumia mfumo huo kuangalia maji yapo sehemu gani Aloo!

Malembo Farm International

account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Good Morning Kipepe Neno hili litufundishe kumshukuru Mungu kwa mafanikio ya wengine uku tukisubiri na sisi baraka za Mungu kwa wakati wetu.

MUHUBIRI 9:11

“Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani,…

Good Morning Kipepe Neno hili litufundishe kumshukuru Mungu kwa mafanikio ya wengine uku tukisubiri na sisi baraka za Mungu kwa wakati wetu. MUHUBIRI 9:11 “Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani,…
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Nafurahi kupata fursa adhimu ya kushiriki kwenye mjadala huru wa Awali, kuelekea Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo ya Mwaka 2024/ 2025 kutoka kwa Waziri wa Kilimo Mh, Hussein Bashe.

Vipi nawe rafiki yangu mdau wa sekta ya kilimo je utajiunga nasi kwenye mjadala huu huru…

Nafurahi kupata fursa adhimu ya kushiriki kwenye mjadala huru wa Awali, kuelekea Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo ya Mwaka 2024/ 2025 kutoka kwa Waziri wa Kilimo Mh, Hussein Bashe. Vipi nawe rafiki yangu mdau wa sekta ya kilimo je utajiunga nasi kwenye mjadala huu huru…
account_circle