Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profileg
Lucas E. Malembo

@MalemboLE

Investors interested in Agribusiness, let's connect| Founder @MalemboFarm πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡°πŸ‡ͺl @AcademyFarms l Dar es Salaam - Yacht Club πŸ›₯️ & Gymkhana Club Member πŸŒοΈβ€β™‚οΈ

ID:912588402750640128

linkhttp://www.mfholdings.co.tz calendar_today26-09-2017 08:03:25

99,6K Tweets

30,9K Followers

712 Following

Follow People
Hussein M Bashe(@HusseinBashe) 's Twitter Profile Photo

Nashukuru jana nilipata nafasi ya kujibu maswali wakati wa Mkutano wa Bunge wa 15 wa Bunge la 12.

Nilipata nafasi ya kuongelea masuala kadhaa yakiwemo

1. Kukamilika kwa Upembuzi Yakinifu wa hekta 67,000 wa Bonde la Mto Rufiji

2. Zao la Mahindi - Serikali itaendelea kununua…

account_circle
Hussein M Bashe(@HusseinBashe) 's Twitter Profile Photo

Leo nimehudhuria Mkutano Mkuu wa 14 wa Wadau wa zao la Kahawa kujadili namna ya kuboresha na kukuza zao hili la kimkakati nchini.

Mkutano huu umewakutanisha Wakulima, Wazalishaji, viongozi wa vyama vya ushirika pamoja na wamiliki wa viwanda vya uchakataji wa zao la kahawa.…

Leo nimehudhuria Mkutano Mkuu wa 14 wa Wadau wa zao la Kahawa kujadili namna ya kuboresha na kukuza zao hili la kimkakati nchini. Mkutano huu umewakutanisha Wakulima, Wazalishaji, viongozi wa vyama vya ushirika pamoja na wamiliki wa viwanda vya uchakataji wa zao la kahawa.…
account_circle
Hussein M Bashe(@HusseinBashe) 's Twitter Profile Photo

Wakulima sasa wanajikita na uzalishaji wa miche bora ya michikichi

Tumedhamiria kuboresha uzalishaji wetu wa mafuta ya kula nchini.

Tunafanya jitihada za maksudi kushirikiana na wakulima ili kuongeza ubora wa mafuta haya kuanzia refining hadi packaging

Wakulima sasa wanajikita na uzalishaji wa miche bora ya michikichi #Tanzania Tumedhamiria kuboresha uzalishaji wetu wa mafuta ya kula nchini. Tunafanya jitihada za maksudi kushirikiana na wakulima ili kuongeza ubora wa mafuta haya kuanzia refining hadi packaging #Agenda1030
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo



Banda la sungura.

Kwa mahitaji ya kutengenezewa banda karibu sana.

UVUNAJI WA MKOJO WA SUNGURA, MATUMIZI NA FAIDA ZAKE.

βœ“ Boresha na mazingira kwa kutengeneza banda ambalo ni rahisi kuvuna mkojo kama ilivyo katika uvunaji wa maji ya mvua.

βœ“ Sungura mmoja…

#KilimoTips Banda la sungura. Kwa mahitaji ya kutengenezewa banda karibu sana. UVUNAJI WA MKOJO WA SUNGURA, MATUMIZI NA FAIDA ZAKE. βœ“ Boresha na mazingira kwa kutengeneza banda ambalo ni rahisi kuvuna mkojo kama ilivyo katika uvunaji wa maji ya mvua. βœ“ Sungura mmoja…
account_circle
Lucas E. Malembo(@MalemboLE) 's Twitter Profile Photo

Miaka mitano ijayo wakazi wa Dar watatakiwa watembee na Oksijeni kwasababu ya joto (mabadiliko ya tabia Nchi.)

account_circle
Chris Bennet(@ChrisBennet_) 's Twitter Profile Photo

Mashamba mengi mkoani Kilimanjaro wamekata kahawa, na kwa wale ambao ipo eneo limepungua sababu wamejenga sana nyumba za kuishi wakiwa likizo

account_circle
BRAYAN A SILAYO(@Brayanathanastz) 's Twitter Profile Photo

Kuna mabadiliko mengi yanatokea Kwa Sasa ulimwenguni na waathirika wakubwa ni Vijana wa kiAfrica kwasababu HATUKUJIANDAA/ANDALIWA kuyapokea mabadiliko hayo.Kwetu yamekuwa surprise.Sayansi na Teknolojia inatuacha nyuma.Tupo nyuma,tunapaswa kuamka tukimbizane sawa na Dunia.

account_circle