MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profileg
MalisaGJ

@MalisaGJ_

Award winning Philanthropist || SBC Specialist || Human Rights Activist || Simba SC Die Hard Fan

ID:1035306942418309121

calendar_today30-08-2018 23:23:05

243 Tweets

22,8K Followers

61 Following

MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Anaandika kaka mkubwa Dr.Chris Mauki. PhD (PhD)
__________
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa…

Anaandika kaka mkubwa Dr.@Chris_Mauki (PhD) __________ Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa…
account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Wakili Msomi, Boniface Mwabukusi amesema serikali haiheshimu mahakama. Mwabukusi amejenga hoja yake kwa kutumia kesi ya Komanya Kitwala, aliyekua DC wa Tabora. Komanya alikua Afisa Sheria Mkuu (Principal Legal Officer) kwenye Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kabla…

Tumepata wasaa mzuri wa kuwapongeza watoto (yatima) waliohitimu kidato cha nne mwaka jana, ambao ni miongoni mwa watoto zaidi ya 100 tunaowasomesha kupitia . Hawa watatu wamemaliza kidato cha nne na wote wamepata ufaulu mzuri kama ifuatavyo;
1. Magreth Joseph DIV 1…

Tumepata wasaa mzuri wa kuwapongeza watoto (yatima) waliohitimu kidato cha nne mwaka jana, ambao ni miongoni mwa watoto zaidi ya 100 tunaowasomesha kupitia #GHFoundation. Hawa watatu wamemaliza kidato cha nne na wote wamepata ufaulu mzuri kama ifuatavyo; 1. Magreth Joseph DIV 1…
account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Leo mdogo wangu @majora_arts ameniletea zawadi ya picha. Ukitizama kwa haraka huwezi kujua kama ni picha ya kuchora. Hakika @majora_arts ana kipaji cha pekee katika uchoraji. Kwa kutumia penseli tu amefanya kazi hii bora na ya kupendeza. Ni wazi kuwa mkono wake unaongea kwa…

Tulianza safari ya kumtoa Judith na wanae kuishi stendi (Ubungo) miaka mitano liyopita. Huyu ni Mhanga wa GBV ambaye alifurushwa na mashemeji zake baada ya mumewe kufariki. Walitaka kumrithi, akagoma, wakamfurusha. Hakua na pa kwenda, akaishia stendi ya mabasi Ubungo. Tulimsaidia…

account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Kaka naomba utusaidie kupaza sauti. Juzi tumekwama Korogwe kwa zaidi ya masaa matano ili kupisha msafara wa Mwenge. Tumekaa porini bila huduma ya chakula, maji wala choo, ili kusubiria watu wachache waliovimbiwa vitambi vya tozo wapite kukagua miradi. Miradi ambayo sisi…

account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo DAB anamaanisha kuna Mawaziri wanamlipa Mange ili amtusi bi mkubwa? I dont think so. Nadhani hii ni 'mbinu' ya DAB kurudisha trust aliyopoteza kwa Bi mkubwa. Ameapply 'uncertanity reduction theory' kumuaminisha mama kuwa yeye anampenda kuliko Mawaziri wake. Anampenda…

account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Masikitiko yangu ni kwamba ajali hii imetokana na uzembe wa dereva. Amebeba watoto wadogo, mvua inanyesha. Amefika pale Dampo (Sinoni) akakuta maji yamejaa njia haionekani. Akaamua 'kuchezea kamari' maisha ya malaika hawa wasioweza hata kujitetea. Akapitisha gari. Matokeo yake…

Master Mark 🇨🇩🇹🇿(@Mastermark45) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa Maji wa Same-Mwanga- Korogwe wenye zaidi ya Shilingi Bilioni 300 upo asilimia 85. 7 ya utekelezaji wake unatarajiwa ifikapo Juni, 2024 unaanza kutoa huduma kwa wakazi wa Wilaya ya Same na Mwanga.

Mradi wa Maji wa Same-Mwanga- Korogwe wenye zaidi ya Shilingi Bilioni 300 upo asilimia 85. 7 ya utekelezaji wake unatarajiwa ifikapo Juni, 2024 unaanza kutoa huduma kwa wakazi wa Wilaya ya Same na Mwanga. #MiakaMitatuYaMama #MamaAnafanikisha #MamaYukoKazini
account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Unatatumia jina fake mitandaoni, picha fake, na taarifa fake. Hujulikani wewe ni nani, unaishi wapi, unafanya nini. Lakini unaDM watu kuomba msaada. Hivi kweli unaamini utasaidika? Hata kama shida yako ni genuine hakuna mtu atakusaidia. Ukitaka msaada play decency. Tumia majina…

account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Uhuru uwe katika muundo na utendaji, sio jina. Yani kweli na vitambi vyenu vya tozo mmekaa mkaona mkibadili jina tayari tume inakua huru? Yani mmebadili jina lakini composition imebaki ileile na utendaji uleule. Sasa hapo tume imekuaje huru?

Mnajiita Tume huru lakini Rais bado…

Uhuru uwe katika muundo na utendaji, sio jina. Yani kweli na vitambi vyenu vya tozo mmekaa mkaona mkibadili jina tayari tume inakua huru? Yani mmebadili jina lakini composition imebaki ileile na utendaji uleule. Sasa hapo tume imekuaje huru? Mnajiita Tume huru lakini Rais bado…
account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Ukipewa 'endorsement' ya 'prominent figure' yeyote ukiwasiliana nae nenda moja kwa moja kwenye point. Sasa wewe una idea ya biashara, unaunganishwa na 'business tycoon' badala ya kumpigia unamtext. Na text zenyewe ni za ajabu. Unaandika 'Hi' hujibiwi. Kesho tena unaandika 'Hi'…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Polisi wanajaribu kuwafanya watu ni wajinga na wasioweza kuhoji masuala na kujisimami. Polisi wanawachukulia ‘poa’ watanzania na wanawadharau sana. Tusikubali watuone sisi ni ‘manyani’

Polisi Zanzibar, walitoa taarifa kwa umma kwamba watu 12 wakazi wa Mjini Magharibi, Zanzibar…

account_circle
Wisdom(@wisdomjaykwa) 's Twitter Profile Photo

Wakati ambo JAY Z anarekodi album ya KINGDOM COME kwenye studios za BASELINE, ndani ya jiji la MANHATTAN.

Kijana aliyetambulika kwa jina JERMAINE LAMARR COLE alikuwa akikatisha nnje ya studio hiyo.

Kijana huyo, ndipo alipo ambiwa kuwa JAY Z yupo ndani anarecodi,👇🏻

Wakati ambo JAY Z anarekodi album ya KINGDOM COME kwenye studios za BASELINE, ndani ya jiji la MANHATTAN. Kijana aliyetambulika kwa jina JERMAINE LAMARR COLE alikuwa akikatisha nnje ya studio hiyo. Kijana huyo, ndipo alipo ambiwa kuwa JAY Z yupo ndani anarecodi,👇🏻
account_circle