shania(@Salha_shani) 's Twitter Profile Photo

Report ya World Press Freedom ya leo tar 03/5/2024 imeonyesha Tanzania imefanya vizuri KUHESHIMU UHURU wa habari Duniani.

Imepanda toka nafasi 143 Mwaka 2023 kidunia hadi nafasi 97 Mwaka 2024. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imepanda kwa nafasi 46 na kuziacha nyuma nchi zote za A.mashariki.

#mamayukokazini
account_circle
Rashda Zunde(@RashdaZunde) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeongeza Bajeti ya dharura ya TARURA kutoka bilioni 21 mpaka bilioni 131, na Bilion 350 zimeogezwa maalumu kwaajili ya ukarabati wa Barabara.

#MamaAnafanikisha
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ฉ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐š, ๐ฅ๐š๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ก๐ฎ๐ญ๐š๐ค๐š ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐š

๐Œ๐€๐Œ๐€ anawaonesha kazi ya ujenzi wa vivuko vitano vitakavyotatua adha ya usafiri, kuimarisha usalama kwa wananchi na kuongeza kasi ya ufanyaji shughuli za kiuchumi na kujamii Kanda yaโ€ฆ

๐€๐…๐˜๐€ ๐๐ˆ ๐‰๐€๐Œ๐๐Ž ๐‹๐€ ๐Œ๐€๐Œ๐€

account_circle
shania(@Salha_shani) 's Twitter Profile Photo

Baba wa Taifa alisema zambi ya ubaguzi haifi inaendelea.

Ndio maana tunawaona CHADEMA wanaendelea kurumbana wao kwa wao hayo ni matokeo ya zambi ya ubaguzi.

anaendelea kumarisha muungano

account_circle
Seif Haruna Iddy(@seif_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Rais Dkt. Samia ni Kiongozi wa vitendo na sio maneno.

๐Œ๐€๐Œ๐€ anawaonesha kazi ya ujenzi wa vivuko vitano vitakavyotatua adha ya usafiri, kuimarisha usalama kwa wananchi na kuongeza kasi ya ufanyaji shughuli za kiuchumi na kujamii Kanda ya Ziwa.

#MamaYukoKazini
account_circle
shania(@Salha_shani) 's Twitter Profile Photo

Watanzania bado tunaishi na hii kauli ya hawa viongozi wawili wa CHADEMA walisisitiza kuwa watanzania tuendelee kushirikiana na Rais Samia Suluhu maana ni nguli wa Maridhiano

Watanzania wote tunaunga mkono na tutaendelea kushirikiana na Rais Samia mpaka 2030

Watanzania bado tunaishi na hii kauli ya hawa viongozi wawili wa CHADEMA  walisisitiza kuwa watanzania tuendelee kushirikiana na Rais Samia Suluhu maana ni nguli  wa Maridhiano

Watanzania wote tunaunga mkono na tutaendelea kushirikiana na Rais Samia mpaka 2030 #mamayukokazini
account_circle
shania(@Salha_shani) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“ŒRAIS SAMIA AMEBADILISHA UPEPO WA KISIASA

Tundu Lissu akieleza mageuzi ya kisiasa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu

Anachokisema Lissu ndio ukweli na haupingiki na wala hawezi kupingana na ukweli huu

account_circle
Master Mark ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@Mastermark45) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI ITAENDELEA KUTEKELEZA FALSAFA YAKE YA 4R

Falsafa hii inalenga kukuza mshikamano wa kitaifa na kusisitiza kuwa maridhiano ya pamoja na kujenga masikilizano kutatuwezesha kupanga kwa pamoja na kutekeleza mipango ya maendeleo.

account_circle