Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profileg
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š

@McinikaWaLamar

Social Media GURU | Thinker Tank | Content Creator

ID:2341919865

calendar_today13-02-2014 19:51:32

222,4K Tweets

757,1K Followers

1,8K Following

Follow People
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Ukweli mchungu kuhusu maisha

1. Bila kujali kinachosemwa, watu watasikiliza chochote wanachotaka kusikia.

2. Unaweza kuwa KILA KITU na ukageuka kuwa SI KITU kwa sekunde moja tu.

3. Ukweli ni kwamba, hata ujaribu kwa bidii kiasi gani, huwezi kumfurahisha kila mtu.

account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa utachagua kati ya heshima na kupendwa, chagua heshima kila wakati. Watu wengi wanaweza kukupenda lakini lazima ujiheshimu ili upendwe.

account_circle
Zee la Vyeti (PhD)(@babalao__) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa nyumba nzuri unatokana na uchoraji wa ramani kali zenye ubunifu wa hali ya juu.

Karibu ARCHONLY STUDIO wakuchoree ramani za kisasa za majengo ya aina mbali mbali. Pia utapata na ushauri wa masuala ya ujenzi.

Office : Lufungila, Mwenge
๐Ÿ“ณwa.me/255682974877

Ujenzi wa nyumba nzuri unatokana na uchoraji wa ramani kali zenye ubunifu wa hali ya juu. Karibu @ArchonlyStudio wakuchoree ramani za kisasa za majengo ya aina mbali mbali. Pia utapata na ushauri wa masuala ya ujenzi. Office : Lufungila, Mwenge ๐Ÿ“ณwa.me/255682974877
account_circle
Mr Mushi(@mrmushico) 's Twitter Profile Photo

Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri.


Bei ya Mbao za Mninga
2*8 tsh 90,000 ft 9
2*6 tsh 60,000 ft 9
2*10 tsh 120,000 ft 9

Wasiliana +255689001102

Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri. #mninga Bei ya Mbao za Mninga 2*8 tsh 90,000 ft 9 2*6 tsh 60,000 ft 9 2*10 tsh 120,000 ft 9 Wasiliana +255689001102
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

DAWA ZINAZO WEZA KUPELEKEA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Uzi๐Ÿงต

Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi vya upungufu wanguvuza kiume,

Lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina chache za Madawa ambazo hutumika mara kwa mara.

'Twende pamoja Bookmarkโ€ฆ

DAWA ZINAZO WEZA KUPELEKEA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Uzi๐Ÿงต Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi vya upungufu wanguvuza kiume, Lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina chache za Madawa ambazo hutumika mara kwa mara. 'Twende pamoja Bookmarkโ€ฆ
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa utachagua kati ya heshima na kupendwa, chagua heshima kila wakati. Watu wengi wanaweza kukupenda lakini lazima ujiheshimu ili upendwe.

account_circle
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ(@Makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

๐—ง๐—ข๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—” ๐—ฅ๐—จ๐— ๐—œ๐—ข๐—ก ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

08/09 ๐—ฌ๐—˜๐—”๐—ฅ.
1790 ๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—ฆ๐—œ๐—ญ๐—˜.
56,899 ๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—˜๐—”๐—š๐—˜ โœ…

Pearly White Color.
Fog light ๐Ÿ’ก
Full Body Kits.
Sport Rims : New Tires ๐Ÿ›ž
Back Camera.
Android Music System.

๐—ฃ๐—ฅ๐—œ๐—–๐—˜ : 20,000,000

๐—ง๐—ข๐—ฌ๐—ข๐—ง๐—” ๐—ฅ๐—จ๐— ๐—œ๐—ข๐—ก ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ 08/09 ๐—ฌ๐—˜๐—”๐—ฅ. 1790 ๐—˜๐—ก๐—š๐—œ๐—ก๐—˜ ๐—ฆ๐—œ๐—ญ๐—˜. 56,899 ๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—˜๐—”๐—š๐—˜ โœ… Pearly White Color. Fog light ๐Ÿ’ก Full Body Kits. Sport Rims : New Tires ๐Ÿ›ž Back Camera. Android Music System. ๐—ฃ๐—ฅ๐—œ๐—–๐—˜ : 20,000,000
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Ukiomba msaada kwa mtu halafu akashindwa kukusaidia, usimchukie wala kumwekea vinyongo huwezi kujua na yeye anapigana vita vyake kiasi gani

account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

SAMAKI anaamini kuna Maji ya aina moja tu mpaka siku akidumbukizwa kwenye kikaango chenye mafuta ya Moto ndio anagundua maji mengine yapo

account_circle
KIPEPE ๐Ÿ’Š(@kipepe123) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Posta Tanzania sasa Linafanya kazi Nchi nzima kwa sasa Limemua kwenda na Kasi ya teknolojia usipate shida Posta tupo..Tuma mzigo Fasta upoke Mzigo Fasta na Posta.

Shirika la @posta_tz sasa Linafanya kazi Nchi nzima kwa sasa Limemua kwenda na Kasi ya teknolojia usipate shida Posta tupo..Tuma mzigo Fasta upoke Mzigo Fasta na Posta. #ChukuaFungashaFikisha
account_circle
Daktari Wa Manesi ๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š(@McinikaWaLamar) 's Twitter Profile Photo

Utachagua mwenyewe uingie road au usubiri kuletewa hesabu ๐Ÿ’ฐ

Lipa bili zako zote na CRDB Simbanking ujiongezee nafasi ya kushinda zawadi ya bodaboda, bajaji au hata ndinga aina ya Nissan Dualis

Piga *150*03# au Pakua SimBanking App Play Store au App Store,

Utachagua mwenyewe uingie road au usubiri kuletewa hesabu ๐Ÿ’ฐ Lipa bili zako zote na CRDB Simbanking ujiongezee nafasi ya kushinda zawadi ya bodaboda, bajaji au hata ndinga aina ya Nissan Dualis Piga *150*03# au Pakua SimBanking App Play Store au App Store, #SwahibaLanguLako
account_circle
WHYMYCATISSAD(@INFLUENCERjr) 's Twitter Profile Photo

Wazalendo Posta Tanzania wamekuja na mabadiliko makubwa katika sekta ya usafirishaji. Sasa kutuma mizigo kumekuwa rahisi, haraka, na ya kuaminika zaidi kuliko wakati wowote. Karibu kwenye safari mpya ya kutuma mizigo na posta.

Wazalendo @posta_tz wamekuja na mabadiliko makubwa katika sekta ya usafirishaji. Sasa kutuma mizigo kumekuwa rahisi, haraka, na ya kuaminika zaidi kuliko wakati wowote. Karibu kwenye safari mpya ya kutuma mizigo na posta. #ChukuaFungashaFikisha
account_circle