#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Timu ya #ElimikaWikiendi tunajivunia fursa ya kipekee ya kuwa sehemu ya maadhimisho ya , jijini Dodoma.

Dhima kuu ya mwaka huu inatukumbusha wajibu mkubwa wa kuendelea kukuza uelewa kwa jamii kuhusu masuala ya mazingira kwa maendeleo endelevu.

Timu ya @ElimikaWikiendi tunajivunia fursa ya kipekee ya kuwa sehemu ya maadhimisho ya #WPFD2024, jijini Dodoma.

Dhima kuu ya mwaka huu inatukumbusha wajibu mkubwa wa kuendelea kukuza uelewa kwa jamii kuhusu masuala ya mazingira kwa maendeleo endelevu.
account_circle
Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Inashauriwa kuchagua rangi nyeupe unaponunua gari kwa sababu rangi hiyo huonekana kiurahisi hasa kwenue mvua na ukungu

Inashauriwa kuchagua rangi nyeupe unaponunua gari kwa sababu rangi hiyo huonekana kiurahisi hasa kwenue mvua na ukungu #ElimikaWikiendi
account_circle
Theresia Chaki(@theresia_chaki) 's Twitter Profile Photo

Kusikiliza muziki kuna ushawishi mkubwa kwenye ubongo hukusaidia kubadili unavyofikiri na jinsi unavyoutazama ulimwengu kwa ubaya

#AfyaYaAkili #ElimikaWikiendi
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Wadau wa maendeleo na habari wakifuatilia kwa umakini mijadala
✍️Ulinzi na Usalama wa wanahabari
✍️ Matumizi ya teknolojia na akili mnemba kwenye habari
✍️Sera, sheria na miongozo ya tasnia ya habari
✍️ Vyombo vya habari na jinsia

|

#WPFD2024 | #ElimikaWikiendi
account_circle
Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Mtemi Rumanyika wa Ufalme wa Karagwe

Alikuwa na Nguvu za kuamuru Mvua Inyeshe, Alizaliwa na mbegu mkononi ambazo zilitoa tafsiri ya utawala wake utakuwa wa Neema.

Mtemi Rumanyika wa Ufalme wa Karagwe 

Alikuwa na Nguvu za kuamuru Mvua Inyeshe, Alizaliwa na mbegu mkononi ambazo zilitoa tafsiri ya utawala wake utakuwa wa Neema. #ElimikaWikiendi
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

'Hali ya vyombo habari nchi inazidi kufa kwa kukosa weledi na kuikwepa taaluma, kuna ombwe kubwa la habari potofu, habari zisizohakikiwa pia baadhi ya vyombo kutowatumia wana taaluma ya habari'

Jenerali ulimwengu

#WPFD2024
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

'Wanawake wengi wanapitia Ukatili wa Kijinsia mtandaoni kutoka kwa watu wasio wafahamu na inawaathiri sana kisaikolojia, Tujitahidi kutumia mitandao kwa manufaa na tuepuke udhalilishaji'

Shamim Nakiryowa toka Dw Akademie

Tunapoelekea kilele cha maadhimisho ya , tukumbuke nguvu ya mitandao ya kijamii katika kuleta mabadiliko chanya.

Kupitia vipindi vyetu ndani ya , tumejizatiti kuendelea kutumia mitandao ya kijamii kama zana ya kufanya uchechemuzi na kuelimishana.

Tunapoelekea kilele cha maadhimisho ya #WPFD2024, tukumbuke nguvu ya mitandao ya kijamii katika kuleta mabadiliko chanya.

Kupitia vipindi vyetu ndani ya #ElimikaWikiendi, tumejizatiti kuendelea kutumia mitandao ya kijamii kama zana ya kufanya uchechemuzi na kuelimishana.
account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

'Maendeleo ya nchi hii yamechagizwa sana na waandishi wa habari na hivyo tunategemea tutaendelea kufanya hivi na hii haimaanishi msifie pekee vile vitu vinafanywa mkiona changamoto kwa wananchi basi muandike ili tujue.' - Dkt Tulia Ackson Spika wa Bunge JMT