Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profileg
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰

@Mkunga_Og

Midwife || A nutritionist || A Counselor || Psychological therapy || Sexual health & Reproductive expert. ๐Ÿง 

ID:1196394736556359686

linkhttps://t.me/mrhealth calendar_today18-11-2019 11:51:47

28,2K Tweets

59,3K Followers

1,0K Following

Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Ukiondoa Wasiwasi, Kinachofuata ni Kuwa Mwenye Afya Njema na njia mojawapo ni kuwa Mwenye Nguvu ambazo utazipata kwa Mazoezi,

Haya hapa Chini ni Mazoezi 6 ambayo unaweza kuyafanya kila Asubuhi,

Uzi ๐Ÿงต,

Ukiondoa Wasiwasi, Kinachofuata ni Kuwa Mwenye Afya Njema na njia mojawapo ni kuwa Mwenye Nguvu ambazo utazipata kwa Mazoezi, Haya hapa Chini ni Mazoezi 6 ambayo unaweza kuyafanya kila Asubuhi, Uzi ๐Ÿงต,
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

Muda umefika sasa, muda wa kuwa yule uliyezaliwa ili uwe na wala si yule wanaekwambia uwe.

Be u ๐Ÿซต Kuwa na msimamo.๐Ÿชก

account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

Magonjwa Hatari na yanayo epukika kwa kuzingatia ushauri wa kiaafya.

SHARE FOR LOVE EACH OTHER HEALTH..๐Ÿฉบ

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Malaria.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kifua kikuu (TB).

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Hepatitis B na C.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Ukimwi.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kipindupindu.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Saratani (Cancer)

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kisukari. (D iabetes)

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Shinikizo la damu (Blood pressure)โ€ฆ

Magonjwa Hatari na yanayo epukika kwa kuzingatia ushauri wa kiaafya. SHARE FOR LOVE EACH OTHER HEALTH..๐Ÿฉบ ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Malaria. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kifua kikuu (TB). ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Hepatitis B na C. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Ukimwi. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kipindupindu. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Saratani (Cancer) ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kisukari. (D iabetes) ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Shinikizo la damu (Blood pressure)โ€ฆ
account_circle
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wengi wana nguvu za kiume ila wana wasiwasi tu,

Anaweza kushindwa kusex na mke wake lakini anaweza kulala na mwanamke wa mwingine,

Wanawake wamekuwa sio wapole tena ila wamekuwa wakali kama mama zetu,

Mwanaume anataka muda wote ajihisi Mfalme, ndio maana anawezaโ€ฆ

Wanaume wengi wana nguvu za kiume ila wana wasiwasi tu, Anaweza kushindwa kusex na mke wake lakini anaweza kulala na mwanamke wa mwingine, Wanawake wamekuwa sio wapole tena ila wamekuwa wakali kama mama zetu, Mwanaume anataka muda wote ajihisi Mfalme, ndio maana anawezaโ€ฆ
account_circle
Fanya Kweli, Usibaki Nyuma(@MtuNiAfya) 's Twitter Profile Photo

'Miaka ya 80 1% tu ya watanzania ilikua na ugonjwa wa kisukari na 4% tu ilikua na shinikizo la juu la damu

Hivi sasa Ugonjwa wa kisukari unaathiri asilimia 25% ya watanzania, 9% changamoto ya shinikizo la juu la damu.' - Mh. Dkt. Philip Isdori Mpango, Makamu wa Rais

'Miaka ya 80 1% tu ya watanzania ilikua na ugonjwa wa kisukari na 4% tu ilikua na shinikizo la juu la damu Hivi sasa Ugonjwa wa kisukari unaathiri asilimia 25% ya watanzania, 9% changamoto ya shinikizo la juu la damu.' - Mh. Dkt. Philip Isdori Mpango, Makamu wa Rais #MtuNiAfya
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

Inadaiwa kwamba kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kunasaidia kuzuia saratani ya tezi dume.

NB: Sheria ni ile ile,, Kula vizuri, kuwa mtu wa mazoezi kilasiku.

Ni tendo la ndoa na wala sio kupiga punyeto. ๐Ÿซต

Inadaiwa kwamba kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kunasaidia kuzuia saratani ya tezi dume. NB: Sheria ni ile ile,, Kula vizuri, kuwa mtu wa mazoezi kilasiku. Ni tendo la ndoa na wala sio kupiga punyeto. ๐Ÿซต
account_circle
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

UGONJWA WA โ€œGENITAL WARTSโ€ HPV (HUMAN PAPILLOMA VIRUS).

Thread ๐Ÿงต,

Ni Vinyama laini Vidogo Vidogo Vinavyoota Kwenye Ngozi Au Utando Laini Unao Zunguka Maeneo Ya Siri (Hivi ni Tofauti kabisa na Skin Tags).

Vinaweza Kutokea Kwenye Uume, Uke, Mrija wa Mkojo (Urethra), Shingo Yaโ€ฆ

UGONJWA WA โ€œGENITAL WARTSโ€ HPV (HUMAN PAPILLOMA VIRUS). Thread ๐Ÿงต, Ni Vinyama laini Vidogo Vidogo Vinavyoota Kwenye Ngozi Au Utando Laini Unao Zunguka Maeneo Ya Siri (Hivi ni Tofauti kabisa na Skin Tags). Vinaweza Kutokea Kwenye Uume, Uke, Mrija wa Mkojo (Urethra), Shingo Yaโ€ฆ
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

Vidoge hivi havitakiwi kutumika mara kwa mara kama njia ya uzazi wa mpango kwa kuzuia mimba kwani ni hatari kwa afya yako,

Ukweli ni kwamba p2 ni dawa ambayo inategenezwa na hormone, Na hufanya kazi kwa kuchelewesha yai lisitoke kwenye ovari, Nakuzuia mbegu zakiume kusafiriโ€ฆ

Vidoge hivi havitakiwi kutumika mara kwa mara kama njia ya uzazi wa mpango kwa kuzuia mimba kwani ni hatari kwa afya yako, Ukweli ni kwamba p2 ni dawa ambayo inategenezwa na hormone, Na hufanya kazi kwa kuchelewesha yai lisitoke kwenye ovari, Nakuzuia mbegu zakiume kusafiriโ€ฆ
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

MADHARA YA VYAKULA VILIVYO KAANGWA..(JUNK FOOD). ๐Ÿฝ

Vyakula vilivyokaangwa vinaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ikiwa hutumiwa kwa wingi.

Katika makala hii nita elezea madhara kadhaa yanayohusiana na kula vyakula vilivyokaangwa.

1. ONGEZEKO LA UZITO.

Vyakula vilivyokaangwaโ€ฆ

MADHARA YA VYAKULA VILIVYO KAANGWA..(JUNK FOOD). ๐Ÿฝ Vyakula vilivyokaangwa vinaweza kuwa na athari mbaya kwa afya ikiwa hutumiwa kwa wingi. Katika makala hii nita elezea madhara kadhaa yanayohusiana na kula vyakula vilivyokaangwa. 1. ONGEZEKO LA UZITO. Vyakula vilivyokaangwaโ€ฆ
account_circle
GRINGO018๐ŸŽจ๐Ÿ–Œ๏ธ(@018Salama) 's Twitter Profile Photo

Hello! How are you catching up with things out there?

Worry out G, God is with you! He will do what he does to help you, since He is the one who brought us to date.

But you must start first on your own, then ask God so that he may give you what you deserve at the right time.โ€ฆ

account_circle
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

IMANI POTOFU kuhusu kitovu cha watoto wachanga na TAMADUNI ZA KIMILA ambazo ni HATARI KWA AFYA;

1. Imani ya kuchubuka: Baadhi ya watu wanaamini kwamba kuchubuka/kukata kitovu cha mtoto kutasaidia kupona haraka. Hata hivyo, kuchubuka kunaweza kusababisha maambukizo na kuharibikaโ€ฆ

IMANI POTOFU kuhusu kitovu cha watoto wachanga na TAMADUNI ZA KIMILA ambazo ni HATARI KWA AFYA; 1. Imani ya kuchubuka: Baadhi ya watu wanaamini kwamba kuchubuka/kukata kitovu cha mtoto kutasaidia kupona haraka. Hata hivyo, kuchubuka kunaweza kusababisha maambukizo na kuharibikaโ€ฆ
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

SABABU ZINAZO PELEKEA DAMU KWENYE SHAHAWA...๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Matumizi ya dawa za nguvu za kiume Ikiwemo VIAGRA.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kukatisha ghafla wakati wa tendo.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Historia ya upasuaji wa kutolewa tezi dume, Maambukizi ya tezidume, na Saratani ya tezi dume.

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Maambukizi ya Kisonono UTI, naโ€ฆ

SABABU ZINAZO PELEKEA DAMU KWENYE SHAHAWA...๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Matumizi ya dawa za nguvu za kiume Ikiwemo VIAGRA. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kukatisha ghafla wakati wa tendo. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Historia ya upasuaji wa kutolewa tezi dume, Maambukizi ya tezidume, na Saratani ya tezi dume. ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Maambukizi ya Kisonono UTI, naโ€ฆ
account_circle
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

1. Watu wengine waliacha kuwa karibu yako kwa sababu walitakiwa kuwa ukurasa mmoja tu kwenye kitabu sio kitabu kizima.

2. Matamanio mengine hayakutimia kwa sababu ulikua sio wakati sahihi kutimia.

3. Baadhi ya stori za watu wengine tayari zimeisha kwa sababu yako badoโ€ฆ

1. Watu wengine waliacha kuwa karibu yako kwa sababu walitakiwa kuwa ukurasa mmoja tu kwenye kitabu sio kitabu kizima. 2. Matamanio mengine hayakutimia kwa sababu ulikua sio wakati sahihi kutimia. 3. Baadhi ya stori za watu wengine tayari zimeisha kwa sababu yako badoโ€ฆ
account_circle
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ Jinsi ya Kupata Uume Mkubwa na wa Kati๐Ÿ‘‡๐Ÿป

Ongeza haya kwenye lishe yako:

Ndizi ๐ŸŒ
Vitunguu saumu ๐Ÿง„
Machungwa ๐ŸŠ
Pilipili
Chokoleti nyeusi ๐Ÿซ

Kuna faida kadhaa za kula ndizi kila siku. Mojawapo ikiwa ni kuwa na kiasi kikubwa cha potasiamu,

Inapunguza kuvimba, kupambana naโ€ฆ

account_circle
๐‹๐ข๐ฅ_๐ƒ๐ž๐ž๐Ÿ˜…(@lil_dee06) 's Twitter Profile Photo

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ Ukweli ni kwamba, kila mwanamke ana mahitaji yake
binafsi ya kihisia na kimwili katika tendo la ndoa.

Stamina na ukubwa wa uume vinaweza kuwa
sehemu ya furaha, lakini sio kila kitu.

Ushawishi mkubwa unatoka kwenye jinsi ya kumgusa na kumridhisha mwanamke kwa njia tofauti.โ€ฆ

account_circle
๐‘ณ๐‘ผ๐‘ป๐‘ฏ๐‘ฌ๐‘น 18(@AMARYAMARY9) 's Twitter Profile Photo

MFAHAMU MTU ALIYEAMUA KUFUNGA NDOA NA MBUZI ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ‘‡

Pichani ni Bwana Charles Tombe Kutoka Sudani Kusini Pamoja na Mbuzi Aliyepewa Jina la Rose.

Mwaka 2006 Bwana Tombe Alilazimishwa Kumuoa Mbuzi Huyu Baada ya Kufumwa Akifanya Naye Ngono.

Walifunga Ndoa, Baada ya Mwaka Mmoja Roseโ€ฆ

MFAHAMU MTU ALIYEAMUA KUFUNGA NDOA NA MBUZI ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ‘‡ Pichani ni Bwana Charles Tombe Kutoka Sudani Kusini Pamoja na Mbuzi Aliyepewa Jina la Rose. Mwaka 2006 Bwana Tombe Alilazimishwa Kumuoa Mbuzi Huyu Baada ya Kufumwa Akifanya Naye Ngono. Walifunga Ndoa, Baada ya Mwaka Mmoja Roseโ€ฆ
account_circle
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

UKWELII KUHUSU MAUMBILE YA MWANAUME (UUME) NA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI.

Soma kwa makini kisha Bookmark Elimu hii itakusaidia mbeleni...๐Ÿฉบ

JE..?? Umesha wai jiuliza ni stamina au size ya uume humfanya mwanamke afurahie zaidi tendo..??

Tumeona vijana wengi sana wakiingiaโ€ฆ

UKWELII KUHUSU MAUMBILE YA MWANAUME (UUME) NA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI. Soma kwa makini kisha Bookmark Elimu hii itakusaidia mbeleni...๐Ÿฉบ JE..?? Umesha wai jiuliza ni stamina au size ya uume humfanya mwanamke afurahie zaidi tendo..?? Tumeona vijana wengi sana wakiingiaโ€ฆ
account_circle