Mwasiti Almas(@MwasitiJ) 's Twitter Profileg
Mwasiti Almas

@MwasitiJ

Singer • Songwriter • Activist • KITETE ft Baddest 47 “Out Now” https://t.co/2AYqBduLfz

ID:290951294

linkhttps://en.m.wikipedia.org/wiki/Mwasiti calendar_today01-05-2011 06:58:02

21,9K Tweets

156,4K Followers

1,0K Following

Mwasiti Almas(@MwasitiJ) 's Twitter Profile Photo

Yaani mama huku vijana wako wa msimbazi tumeshatolewa machozi 😭😭 maumivu mama,moyo unaumaaaaa unachoma 😭

account_circle
Mwasiti Almas(@MwasitiJ) 's Twitter Profile Photo

Mikopo mingi inaua urafiki wa watu wengi 🤣…..marafiki wengi wanaokopeshwa hawarudishi na kitakachofuata ni mnuno na mawasiliano yatakatwa!!!

account_circle