KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profileg
KBC Radio Taifa

@RadioTaifaFM

Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC, Inayoongoza kwa vipindi komavu na watangazaji wenye tajriba.

ID:1410105788

linkhttps://radiotaifa.kbc.co.ke/ calendar_today07-05-2013 12:11:20

87,3K Tweets

67,4K Followers

1,0K Following

KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Wale wote wanaishi kando ya mito tunawapatia masaa 48 kutoka kesho wawe wametoka kwa sababu vile ambavyo mambo yanaendelea, tutazidi kuwa na mvua na mafuriko - Ruto

Wale wote wanaishi kando ya mito tunawapatia masaa 48 kutoka kesho wawe wametoka kwa sababu vile ambavyo mambo yanaendelea, tutazidi kuwa na mvua na mafuriko - Ruto #KBCRadioTaifa
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Wakenya 169 wamefariki kutokana na mafuriko kufikia sasa, haya ni kulingana na taarifa kutoka wizara ya usalama wa taifa
^FN

Wakenya 169 wamefariki kutokana na mafuriko kufikia sasa, haya ni kulingana na taarifa kutoka wizara ya usalama wa taifa #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta aahidi mchango wa shilingi Milioni 2 kwa shirika la msalaba Mwekundu humu nchini ili kuimarisha juhudi zao za kutoa misaada.
^FN

Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta aahidi mchango wa shilingi Milioni 2 kwa shirika la msalaba Mwekundu humu nchini ili kuimarisha juhudi zao za kutoa misaada. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

The escalating debt burdens compounded by the impact of climate change and the economic scars of Covid-19 underscore the necessity for accessible, affordable and long-term financing - President Ruto.

account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Idara ya utabiri wa hali ya anga imetahadharisha umma kuhusu mvua kubwa itakayonyesha katika baadhi ya maeneo jijini Nairobi leo.
^FN

Idara ya utabiri wa hali ya anga imetahadharisha umma kuhusu mvua kubwa itakayonyesha katika baadhi ya maeneo jijini Nairobi leo. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Beki fundi wa klabu ya Chelsea Raia wa Brazil Thiago Silva amethibitisha kwamba ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.
^FN

Beki fundi wa klabu ya Chelsea Raia wa Brazil Thiago Silva amethibitisha kwamba ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Watu 45 wamethibitishwa kufariki kufikia sasa huku wengine wakijeruhiwa vibaya kufuatia mafuriko katika eneo la Mai Mahiu, kaunti ya Nakuru. Shughuli za kutafuta miili zinaendelea
^FN

Watu 45 wamethibitishwa kufariki kufikia sasa huku wengine wakijeruhiwa vibaya kufuatia mafuriko katika eneo la Mai Mahiu, kaunti ya Nakuru. Shughuli za kutafuta miili zinaendelea #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amesema uongozi wa kaunti umeanza zoezi la kuwarejeshea nauli wanafunzi ambao wamekwama katika stendi mbali mbali za mabasi kurudi makwao baada ya serikali kuahirisha tarehe ya kufunguliwa kwa shule.
^FN

Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amesema uongozi wa kaunti umeanza zoezi la kuwarejeshea nauli wanafunzi ambao wamekwama katika stendi mbali mbali za mabasi kurudi makwao baada ya serikali kuahirisha tarehe ya kufunguliwa kwa shule. #KBCRadioTaifa ^FN
account_circle
KBC Radio Taifa(@RadioTaifaFM) 's Twitter Profile Photo

Mojawapo ya miradi ambayo nchi yetu inashirikiana na IDA kuitekeleza ni ile inayolenga kupunguza msongamano na kuboresha barabara za Jiji la Dar es Salaam ikiwemo ujenzi wa Kijazi Interchange na njia za Mabasi ya Mwendokasi - Samia Suluhu

Mojawapo ya miradi ambayo nchi yetu inashirikiana na IDA kuitekeleza ni ile inayolenga kupunguza msongamano na kuboresha barabara za Jiji la Dar es Salaam ikiwemo ujenzi wa Kijazi Interchange na njia za Mabasi ya Mwendokasi - Samia Suluhu #ida21work #IDA21nairobi
account_circle