Sophia Kessy(@SophiaKessy) 's Twitter Profileg
Sophia Kessy

@SophiaKessy

Journalist/ TV & Radio Personality @CMG: CEO #SophyTours #Finchafricasafaris #Drop4Honey๐Ÿฏ: Founder of Sophyfoundation!

ID:270878913

linkhttp://www.sophiakessy.com calendar_today23-03-2011 12:26:59

30,5K Tweets

21,5K Followers

6,6K Following

Malick Kimaro(@KimaroMali33061) 's Twitter Profile Photo

Sophia Kessy Kwenye maandiko Hayo, YESU alikuwa ana ongea wale wote ambao wamezaliwa Mara ya pili (wameokoka)lakini badala ya kutambua au kujua wao mahitaji yao yanatoka au wanahudumiwa na UFALME wa MUNGU,wao wanaishi Kama watu wa duniani ambao mahitaji yao wanapata kwa KUVUJA JASHO

account_circle
Malick Kimaro(@KimaroMali33061) 's Twitter Profile Photo

Sophia Kessy Hapo lazima uwe'umezaliwa Mara ya pili'kwa UFAHAMU wa dunia hii,itakuwa ngumu.(kusamehe na kusahau Ni tabia ya MUNGU)
Mithali-19:11
Wakolosai-3:13

account_circle
Sophia Kessy(@SophiaKessy) 's Twitter Profile Photo

Forgiving someone is easy, but being able to trust them again is a totally different story. โœ๏ธ

Have a great day Buddy ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

account_circle
Rev. Dr. Eliona Kimaro(@ElionaKimaro) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi ya leo nataka kukukumbusha jambo moja.

Ukiona watu wanakuzonga, usihangaike nao, pandisha bei yako kisha uendelee na kuyafanyia kazi maono yako.

Muda wako hauwezi kutosha wewe kudeal na maono na watu kwa pamoja. Wape Chakula, kama alivyofanya Yusuph.

Mungu Akubariki

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

Yohana 10:9

account_circle
Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@RehemaGm) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 31:1-3
[1]Nimekukimbilia Wewe, BWANA,
Nisiaibike milele.
Kwa haki yako uniponye,
[2]Unitegee sikio lako, uniokoe hima.
Uwe kwangu mwamba wa nguvu,
Nyumba yenye maboma ya kuniokoa.
[3]Ndiwe genge langu na ngome yangu;
Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.

account_circle
Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@RehemaGm) 's Twitter Profile Photo

Zaburi 31:14-16
[14]Lakini mimi nakutumaini Wewe, BWANA,
Nimesema, Wewe ndiwe Mungu wangu.
[15]Nyakati zangu zimo mikononi mwako;
Uniponye na adui zangu, nao wanaonifuatia.
[16]Umwangaze mtumishi wako
Kwa nuru ya uso wako;
Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.

account_circle
Lusajo L.M. | 1440(@Sajjo) 's Twitter Profile Photo

Katika kila jambo uwe kielelezo kwa kutenda mema. Katika mafundisho yako uonyeshe uadilifu, utaratibu, na usemi sahihi usio na lawama, ili wanaokupinga watahayari, wakose neno lolote baya la kusema juu yetu.

Tito 2:7-8 ๐Ÿ™๐Ÿฝ

account_circle
Sophia Kessy(@SophiaKessy) 's Twitter Profile Photo

Prayers Time....

Somo la Leo ....Gal 6:9-10
Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na hasa jamaa ya waaminio.
.๐Ÿ™๐Ÿฝ

account_circle
Sophia Kessy(@SophiaKessy) 's Twitter Profile Photo

Prayers Time ....

Methali 29:1-2 ๐Ÿ“ŒAonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.

Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.

Ee Mungu, naomba neema yako ili ulimi wangu ukiri ukuu wako daima.๐Ÿคฒ๐Ÿพ

account_circle
Samia Suluhu(@SuluhuSamia) 's Twitter Profile Photo

Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa Clouds Media Group kwa kuondokewa na ndugu yetu, Gardner Gabriel Habash. Mchango wa Gardner kwenye ustawi wa sekta ya habari nchini ni mkubwa, na amekuwa mnasihi wa vijana wengi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake

POWER MABULAH(@IamNchaKALIH) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha yake amefanyika kama kioo kwa wengi! Mechi nyingi alizocheza amezishinda kwa ushindi heavy na kuacha legacy ambayo tunaisherehekea leo hii kwa tunu ya maisha yake!

Kwenye maisha yake #CaptainWaGemu amefanyika kama kioo kwa wengi! Mechi nyingi alizocheza amezishinda kwa ushindi heavy na kuacha legacy ambayo tunaisherehekea leo hii kwa tunu ya maisha yake! #KwaheriCaptain #CaptainWaGemu
account_circle
Sophia Kessy(@SophiaKessy) 's Twitter Profile Photo

When you are happy, you enjoy the music, but when you are sad, you understand the lyrics. Music can speak to your soul when words fail.

When you are happy, you enjoy the music, but when you are sad, you understand the lyrics. Music can speak to your soul when words fail.
account_circle
Ali 'Mwamvita' Manzu(@Ali_Manzu) 's Twitter Profile Photo

I think relatives shouldnโ€™t read tributes prepared by others. It should just come out of their heads flowing naturally. That was one strong father and son bond! Tangulia salama Jenerali, tuko njiani.

account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Derby ya kwanza ya Kariakoo ilichezwa Juni 7, 1965 mara baada ya kuanza kwa ligi kuu ya soka, ambapo Yanga ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Sunderland (sasa Simba) huku mfungaji wa kwanza akiwa ni Mawazo Shomvi aliyefunga dakika ya 15.

#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

NUKUU YA LEO: โ€œMtie moyo kila aliye karibu na wewe mhimize asife moyo, nguvu yake ndani yake ndio ushindi wake.โ€ - Pastor Tony Kapola

NUKUU YA LEO: โ€œMtie moyo kila aliye karibu na wewe mhimize asife moyo, nguvu yake ndani yake ndio ushindi wake.โ€ - Pastor Tony Kapola
account_circle